Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Mi nawaza tu...pale katoto kenye geti Kali kaliwezaje kulala kwako.....kana bleed...ukakanunulia na pedi...ukaweka na kindege kwenye cm..

Mkuu wewe ni kiazi..
Haka katoto kalikuwa Bado hakana experience sn na smartphone ndo kwanza kalikuwa kamemaliza form4 so hata kindege hakuelewa maana yake na inaonekana kalikuwa kanabanwa Sana kiasi kalikuwa kanatumia vzuri chances chache kalizopata
 
Naomba niseme
Kwanza shukrani Sana Kwa jamaa zangu wa JF Kwa ushauri mlionipa kwakweli Kwa namna Moja au nyingine mmeokoa maisha ya mtu flani. Nimesha achana na yule mwanamke kiroho safi nayeye ameridhia kumaanisha huenda mapenzi yameisha kabisa sasa nipo singo Tena naenjoy kama ikitokea nikapata mwanamke sahihi kwangu sitaprpesa macho naona on the spot

JF itabaki kuwa sehemu sahihi ya kupata ushauri mzuri Mungu awabariki sana
 
Japo ni vigumu kumwambia mtu muache huyu mwanamke ila basi tu.
Wacha nisikuambia hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawewe nae una matatizo, kwanini ukimficha kuhusu zawadi ya kazini? Kwanini ulipanga umle mtoto wa kishua?
 
We mwamba sana yaani umejua kabisa amecheat na bado unamuita mke, akili zako siwezi kuzitumia hata kuvuka barabara tu.
 
Simu ya mwanaume anashikaje mke wako,katika ndoa hakuna usawa,ukitaka usawa hapo hakuna ndoa.
Mkeo ni mpenda ligi pia ana tabia za kimalaya,huyo ni malaya alie tulia tu.

Mwanaume hata ukichepuka mke hatakiwi kulipiza ,kwa hiyo ukitaka kuongeza mke na yeye atataka aongeze mme[emoji3][emoji3]
 
Nimependa
 
Umenena vizuri
 
Ukiona mkeo alikuwa anakuita baba akiwa na wanao sasa anasema baba yenu ujue kuna mtu anakusaidia kitaa
Ukiona mkeo alikuwa anakupokea mzigo unapoingia nyumbani ila sasa hakupokei basi kuna mtu anakusaidia kitaa
Ukiona mkeo alikuwa anakujulia hali kwa simu uwapo safari na sasa inapita wiki hafanyi vile kuna mtu anakusaidia
 
Ukiona mwanamke analipiza kisasi hiyo inamaana anashindana na mwanaume na kitendo Cha mwanamke ndani ya nyumba kuanza kushindana na mwanaume ujue hapo huna mke Bali una mama watoti,mke anaejielewa hawezi shindana na mume wake kwa namna yoyote hile,ukweli huyo mwanamke hafaii piga chini.
 
Ndio maana sipendi mambo ya kutafuta ukwasi huku ukiwa na mke tayari. Jamaa anagwaya kumuacha mke maana mali alizochuma kwa jasho na damu zitayeyuka kiboya.

Kama ungekua huru kifedha huyo mke unamchapa talaka safi kabisa.

Kama sitokua na ukwasi mzuri, hakika sitaoa kabisa.
 
Dah, huyo dada pamoja na kulipiza kisasi ni muhuni tu kama wahuni wengine. Hata mume wangu anicheat vip siwezi lipiza kisasi kwa kukipeleka nje na mimi(nigongwe na mwanaume mwingine never) Mpe last chance asipobadilika kingu'ta vumbi viatu anza upya.
 
Hapo huna mke bro.
Nakushauri piga chini. Tabia ya kuflirt na kuchepuka sisi wanaume ni ya asili. Na ni kitu kinachokuja auto, na kuacha hatuwezi. Sasa kila ukiflirt mwenzio anamaliza kabisa utatombewa sana.
Achana naye.
 
We mwamba sana yaani umejua kabisa amecheat na bado unamuita mke, akili zako siwezi kuzitumia hata kuvuka barabara tu.
Halafu bado unapitisha dushe huko huko? Ujasiri wa kusimamisha unajitoa wapi aiseee? Duniani kuna wanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…