Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Mi nawaza tu...pale katoto kenye geti Kali kaliwezaje kulala kwako.....kana bleed...ukakanunulia na pedi...ukaweka na kindege kwenye cm..

Mkuu wewe ni kiazi..
Haka katoto kalikuwa Bado hakana experience sn na smartphone ndo kwanza kalikuwa kamemaliza form4 so hata kindege hakuelewa maana yake na inaonekana kalikuwa kanabanwa Sana kiasi kalikuwa kanatumia vzuri chances chache kalizopata
 
Naomba niseme
Kwanza shukrani Sana Kwa jamaa zangu wa JF Kwa ushauri mlionipa kwakweli Kwa namna Moja au nyingine mmeokoa maisha ya mtu flani. Nimesha achana na yule mwanamke kiroho safi nayeye ameridhia kumaanisha huenda mapenzi yameisha kabisa sasa nipo singo Tena naenjoy kama ikitokea nikapata mwanamke sahihi kwangu sitaprpesa macho naona on the spot

JF itabaki kuwa sehemu sahihi ya kupata ushauri mzuri Mungu awabariki sana
 
Japo ni vigumu kumwambia mtu muache huyu mwanamke ila basi tu.
Wacha nisikuambia hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha ya hayo yoote Maisha yetu Mimi na mkewangu na mtoto wetu yamekuwa yafuraha na changamoto za hapa na pale (zakuvumilika)

Miaka yote hiyo saba iliyopita niliyokuwa Naye katika maisha sikuwahi kugundua tabia ya mkewangu ya kulipiza kisasi. Kumbe miaka yote hii nane amekuwa akinilipiza fisasi bila Mimi kujua.

Nakiri kwamba ni mwanamke ambaye alinipenda Sana kiasi Cha kutembea kifua mbele kwamba napendwa alikuwa radhi Kwa chochote ili awe na Mimi tu katika maisha yake.

Mwaka huu mwazi wa kwanza kama sio wa pili akanambia kitu Cha kushangaza Sana. Kipindi nipo chuoni miaka kama Sita iliyopita aliwahi kunifuma chumbani kwangu nikiwa na kadem flani

Haka kademi hata sikuwa nacho kwenye mahusiano, kalikuwa ni katoto ka getikali kanaishi kwenye bangaloo nikiwa napita kwao kananichekea nikajua tu kanawashwa maana kanafungiwa sana ndani. Sikumoja nikiwa napita kwao hako kadem nikakaita kakanifuata, kalitoroka kwao nikakachukua mpaka geto kwangu. Leongo ni kula mzigo lakini kumbe kalikuwa kwenye siku zake kwahiyo mission ikawa failed, nikaenda kukanunulia ped maana kaliniambia kanataka kulala kwangu, kwakuwa kalikuwa bize na cm yangu nikaweka flight mode nisipatikane kumbe mwanamke wangu kanipigia wee hanipati

Keshoyake asubuhi mwanamke wangu akatufuma live geto kalekadem kakiwa kamevaa nguo yangu. Ilikuwa patashika sitasahau hii siku.

Tulifanikiwa kusolve Hilo tatizo mkewangu alinielewa japo kishingo upande

Kumbe Imani yoote aliyokuwa nayo kwangu ilifia pale aliponifuma na kale kadem.

Sasa mwaka huu ndo anakuja kunambia kuwa alijua kwamba kale kademu nilikaginga kwahiyo nayeye kulikuwa na jamaa flani anamtongoza tongoza akaamua akampe mzigo kupunguza machungu.

Baada ya kuambiwa haya nilisikitika Sana Kwasababu Mimi sikuwa nimefanya mapenzi na kale kabinti lakin yeye akanilipizia Kwa kufanya kweli.

Kabla sijakutana na mkewangu nilikuwa na marafiki wakiume na wakike. Ilifikia hatua mkewangu akanikataza kuwa na marafiki wa kike kutokana na wivu aliokuwa nao kwangu.

Nilijitahidi kumthibitishia kuwa hakuna kingine zaidi ya urafiki tu hasahasa maisha yangu ya chuo nilikuwa nachangamana na jinsia zote, kunawakati nilidhani amenielewa.

Mwaka huu mwezi wa tatu hiv nikagundua mwenzangu amebadilika mapenzi yamepungua kwangu, namjua mkewangu ni mtu wa kutafuta furaha kutoka kwangu mara ghafla akawa Hana habari na Mimi.

Kazini kwangu kuna mdada akawa amenizoea Sana tukawa tunawasiliana na kuchat lakini nilimtaadharisha kuwa ninamke na mtoto tuseme tu tulipenda Sana kutaniana Kila siku zilivyozid kwenda utani ukawa unazidi nikajua huyu atakuja kuniletea matatizo Kwa mkewangu nikambolock.

Baada ya siku kadhaa yule dada wa kazini akanifata kistaarabu akaniomba nimsamehe Kwa utani uliopitiliza basi nikaona Acha nimblokue

Japo nimemblokua lakini nilishaisoma akili yake sio timamu Sana. Kumbe mkewangu alikuwa akisoma sms zangu na amekuwa akitufatilia Mimi na huyo dada wa kazini kwangu.

Akanionya nisiwe na ukaribu na huyo dada. Nilichofanya nikaamua kuwa nambadilisha majina kilasiku mara Leo nimsevu Mgunda mara nimsave Onyango.

Kumbe hayo yoote mkewangu alikuwa kashajua.

Nilipata zawadi ya mfanyakaz Bora wa mwezi kazini kwetu nikapewa zawadi nikapigwa na picha, ilikuwa jiko la gas yule dada rafkiangu wa kazini akaniomba Lile jiko akanambia atanirudiahia hela kidogo kidogo nikampa maaana sikuwa na shida nalo Sana.

Wakati huo mkewangu simuelewi anamajibu ya mkato Hana muda namm, sio mtu wa kushinda nyumbani.

Kumbe mkewangu ameona zile picha za Mimi kupewa zawadi kazini na zawadi hajaiona nyumbani basi akajua mojakwa Moja nimemuhonga yule demu wa kazini kwangu.

Kumbe mkewangu alikuwa na urafiki na jamaa flani hivi sijui walisomanae, yule jamaa alikuwa anmfanyia vitu mkewangu mara amtoe out mara amletee zawadi mda huo me sielewi namuonax mkewangu mapenzi hayapo kabisa kwangu najaribu kuchunguza ni nini sababu.

Nakuja kujua nishachelewa Sana jamaa kashamla mzigo mkewangu na kashaanza kumpotezea.

Nilipogundua Hilo niliumia Sana lakini nikakumbuka aliwahi kunifuma na mwanamke chumbani na alinisamehe na kutokana na alivyoomba msamaha nilishindwa kuacha kumsamehe, niseme nilikuwa nampenda Sana mkewangu nikaamua kumsamehe japo wengi watanishangaa ila niliamua hivyo Kwasababu ningepoteza vingi nilivyo vijenga kama tungeachana.

Mkewangu alinambia aliamua kucheat Kwasababu alidhani nimecheat na yele mdada wa kazini kwangu

Hebu tizama mkewangu amrudia Tena kunilipizia kisasi kwa kunicheat akidhani Mimi nimemcheat. Basi kuanzia hapo nikawa nimeijua tabia ya visasi aliyonayo mkewangu.

Tulianza maisha mapya na mkewangu sikutaka Tena mawasiliano na yule Binti wa kazini kwangu na mkewangu akaacha mawasiliano na yule jamaa aliyenicheat Naye.

Hakika mkewangu alirudisha mapenzi yote kwangu akaniheshimu nikampenda maisha yalikiwa matamu hizo siku baada ya miezi kama minne hivi yule jamaa akaanza kupigia mkewangu.

Nilipogundua Hilo nikaongea na mkewangu akanambia ananiahidi hatafanya kitendo alichokifanya Cha kunicheat Tena katika maisha yake kwahiyo nimuache tu awasiliane Naye huyo jamaa hakitaharibika kitu.
Nikaona hiyo sio kweli nikaamua kumvutia jamaa waya nikamwambia aache kuwasiliana na mkewangu na nikamfahamisha kuwa najua kuwa alishatembea na mkewangu najua yote lakini Kwa amani tu nikamuomba aache kuwasiliana na mkewangu jamaa alinielewa vzuri sana aliacha huo mchezo kabisa.

Maisha yakaendelea baada kama miezi miwili hivi nikaanza kugundua kuwa mkewangu ameanza Tena kunipuuza haniheshimu majibu ya shortcat Hana muda na Mimi nikaanza Tena kumchunguza nikagundua amekuwa na marafiki wa kiume kadhaa anachart nao.

Nilipomuuliza akasema ni rafiki zake kwakuwa hata Mimi mbona ninamarafiki wa kike.

Baada ya siku mbilitatu nikafuma sms ya jamaa mmoja miongoni mwa hao rafiki zake akimtongoza, Tena saa Tano usiku.

Nikampigia cm huyo jamaa nikaongea nae kiume kiutu uzima jamaa akaniomba msamaha akakata mawasiliano na mkewangu, nikamwambia mkewangu sitaki uwe na marafiki wa aina hii kunasiku watakuja kumponza kapoteza familia yake Kwasababu Hawa rafiki wasioeleweka.

Baada ya siku tatu mkewangu akaanza kuchat na jamaa anaitwa Ezra huyu Ezra akaanza kumtongoza mkewangu lakin mkewangu alimkata kiaina nilichoshangaa mkewangu alionekana anapenda Sana kuweka urafiki na huyu Ezra hata nilipomwambia akasema amesha mwambia Ezra kuwa wawe marafiki tu na sio wapenzi na Ezra ameridhika na Hilo.

Binafsi nikakumbuka tabia ya visasi ya mkewangu ameona kwakuwa Nina rafiki wakike ninaowasiliana nao ambao kwakweli hatuna mahusiano ya kimapenzi na hao wengi ni wafanyakazi wenzangu na hata mkewangu anajua kabisa kuwa Sina mpenzi zaidi yake lakini anachokifanya hapa ni kulipiza kisasi ndomaana hataki kuacha kuchart na huyu Ezra.

Nikamwambia aache kuchart na Ezra akanijibu kama anataka niache kuchart na Ezra basi na Mimi nisiwe na rafiki wa kike.

Kinachoniumiza kichwa hapa sio Ezra. Ni hii Hali ya kulipiza visasi Mkewangu tabia hii nitaidhibiti vipi? Au haiwezekani? Maisha ya kuchetiwa wakati me najitahidi kujilinda na kumpenda mkewangu lakini yeye ananilipa Kwa haya kweli.

Tabia hii ya visasi ningeju tangu zamani nisingeamua kuishi naye lakini yote hya nimeyaju mwaka huu je ninauhakika gani amekuwa akinicheat Kila anapohisi nimemcheat.
Naombeni mnishuri nipo njia panda sijui lakufanya nishuke tu safari imenishinda au niendelee na safari, natatua vp hili tatizo
Nawewe nae una matatizo, kwanini ukimficha kuhusu zawadi ya kazini? Kwanini ulipanga umle mtoto wa kishua?
 
We mwamba sana yaani umejua kabisa amecheat na bado unamuita mke, akili zako siwezi kuzitumia hata kuvuka barabara tu.
 
Simu ya mwanaume anashikaje mke wako,katika ndoa hakuna usawa,ukitaka usawa hapo hakuna ndoa.
Mkeo ni mpenda ligi pia ana tabia za kimalaya,huyo ni malaya alie tulia tu.

Mwanaume hata ukichepuka mke hatakiwi kulipiza ,kwa hiyo ukitaka kuongeza mke na yeye atataka aongeze mme[emoji3][emoji3]
 
Nimependa
Kosa ulilofanya ni kujenga nyumba bila ya kuwa na mlango wa dharura, ungekuwa unahudhuria vikao vya kiumeni ule mstari wa tuishi nao kwa akili huwa ndiyo kiitikio cha wimbo wa Jumuiya ya kiumeni.

Sasa sikiliza upate ushauri kutoka halmashauri kuu ya kiumeni, anza kuuza assets zenye umiliki wa jumuiya yaani wewe na mkeo. Baada ya kufanya hivyo anza ku'convert' kiasi kilichopatikana kwa kufanya uwekezaji wa binafsi ili ikifika hatua ya kugawana mbao baada ya chombo kuzama tayari unakuwa umeshajiandalia plan B.
Pia anza kuandaa mipango ya watoto wako kuhusu wataishi wapi bila kuathiri malezi yao baada ya kutengana na huyo mzazi mwenzio.

Ila kabla ya yote, kwakuwa unahisi hiyo tabia kaianza muda mrefu na wewe umegundua mwaka huu, pima DNA ujiridhishe kama hao watoto wote ni wako ama la kabla ya kumchukulia hatua kali za kinidhamu.
Azimio la kikao ni kuwa mkeo au demu wako, sio tu hatakiwi kuchepuka hata mara moja, bali hata kuhisiwa kuwa ana mpango wa kuchepuka hilo ni kosa la jinai kwa sheria za Kiumeni. Umetuangusha sana umejua kuwa watu wamemmega zaidi ya mara mbili na bado unaendelea kukomaa naye.
ONYO:

Tutaacha kutoa ushauri na msaada wa Kisheria kwa watu wanaokacha kuja kwenye vikao kwa makusudi kabisa, ila mkikwama mnakuja kutaka msaada kutoka kwenye chama.
 
Wewe mwanaume mwenye umama ndani yako mke wako anajuaje unachati na marafiki wa kike. Kila ukichati na mwanamke yeye anajua, kwanini?

Usikute unachati nao ile ya kujichekesha na kujifanya charming uku ukiwekeza concentration uko na kutoa meno nje kwa furaha. Mazungumzo ya kazi na mawasiliano ya kawaida mara chache sidhani kama yangetia shaka.

Na huyo mkeo mpuuzi mzuie mara moja hiyo tabia ya kulipiza. Kama anataka kulipiza mfanye alipe milele kwa bei ya jumla, akaolewe na hao marafiki zake.
Umenena vizuri
 
Ukiona mkeo alikuwa anakuita baba akiwa na wanao sasa anasema baba yenu ujue kuna mtu anakusaidia kitaa
Ukiona mkeo alikuwa anakupokea mzigo unapoingia nyumbani ila sasa hakupokei basi kuna mtu anakusaidia kitaa
Ukiona mkeo alikuwa anakujulia hali kwa simu uwapo safari na sasa inapita wiki hafanyi vile kuna mtu anakusaidia
 
Usiwasikilize wataokwambia muache, wanawake wote tunalipa visasi, Ila Kwa Siri....tatizo mkeo alitoroka mkoleni.
Kingine nyie mnapendana, Kama kweli unataka kumbadilisha, badilika wewe, Acha kuchat chat hovyo na wanawake, Jenga Imani ulioibomoa kwake.....upuuzi wako Fanya Kwa Siri sana asijue, wanawake hatupendi dharau.
Ukiona mwanamke analipiza kisasi hiyo inamaana anashindana na mwanaume na kitendo Cha mwanamke ndani ya nyumba kuanza kushindana na mwanaume ujue hapo huna mke Bali una mama watoti,mke anaejielewa hawezi shindana na mume wake kwa namna yoyote hile,ukweli huyo mwanamke hafaii piga chini.
 
Ndio maana sipendi mambo ya kutafuta ukwasi huku ukiwa na mke tayari. Jamaa anagwaya kumuacha mke maana mali alizochuma kwa jasho na damu zitayeyuka kiboya.

Kama ungekua huru kifedha huyo mke unamchapa talaka safi kabisa.

Kama sitokua na ukwasi mzuri, hakika sitaoa kabisa.
 
Dah, huyo dada pamoja na kulipiza kisasi ni muhuni tu kama wahuni wengine. Hata mume wangu anicheat vip siwezi lipiza kisasi kwa kukipeleka nje na mimi(nigongwe na mwanaume mwingine never) Mpe last chance asipobadilika kingu'ta vumbi viatu anza upya.
 
Hapo huna mke bro.
Nakushauri piga chini. Tabia ya kuflirt na kuchepuka sisi wanaume ni ya asili. Na ni kitu kinachokuja auto, na kuacha hatuwezi. Sasa kila ukiflirt mwenzio anamaliza kabisa utatombewa sana.
Achana naye.
 
We mwamba sana yaani umejua kabisa amecheat na bado unamuita mke, akili zako siwezi kuzitumia hata kuvuka barabara tu.
Halafu bado unapitisha dushe huko huko? Ujasiri wa kusimamisha unajitoa wapi aiseee? Duniani kuna wanaume!
 
Back
Top Bottom