AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 589
- Thread starter
- #41
Nimemtolea mahari lakini haya yote nimegundua ndani ya mwaka huu tu sitaki kukimbilia haraka Kwa wazazi au wazee maaana najua huko ataomba msamaha halafu wazee watatuacha na changamoto zitaendelea, binafsi nataka kumuacha lakini natamani kupata njia sahihi zaidi sitaki kukurupuka nikaja kujutiaKama Lengo la safari yenu ni kufika uzeeni kulea wajukuu? Basi endelea.
Pia sio mke wako ila mmezaa pamoja, kama ungemtolea mahari usingetaka ushauri huku.
Sema hapo umekalia kuti kazi mama watoto kama Danga flan.
Kwa sababu mna mtoto we usimwache tafuta pesa ongeza mke mwingine.