Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Nimemtolea mahari lakini haya yote nimegundua ndani ya mwaka huu tu sitaki kukimbilia haraka Kwa wazazi au wazee maaana najua huko ataomba msamaha halafu wazee watatuacha na changamoto zitaendelea, binafsi nataka kumuacha lakini natamani kupata njia sahihi zaidi sitaki kukurupuka nikaja kujutia
 
Asante Sana Dadangu umenishauri kitu Cha msingi sana nitakifanyia kazi
 

Ushalewa unaanza kutoa siri zetu [emoji23][emoji23][emoji23]

Utasababisha ndoa za watu zivunjike mama K
Unajua wanaume hawajui km wanawake wanalipiza ila bila kukutwa na bwana Pepsi?!
Ushawasanua tutarajie nyuzi nyingi huu mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo Mie msema kweli mpenzi wa Mungu🤣 Afu ukweli una tabia ya kuchoma🤣

Waache wakaze fuvu tu kuwa mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja, halafu wanawake wanasamehe kosa la kuchepuka🤣🤣🤣🤣
Wasichojua Wanaosamehe ni wale wasio na option, hawastui Yani, hawatongozwi🤣🤣

Halafu Sheria ya Msamaha ni kuwa anayetakiwa kusamehe ni Yule mwenye uwezo wa kulipa kisasi🤣 Huna uwezo wa kupambana kulipa kisasi usijishaue kujidai umesamehe🤣🤣🤣 Kisasi ni haki🤣

Sijui niongeze pombe nifunguke ya mkoleni, niwe msungooo🤣🤣🤣🤸
 
Mapenz buana mm sina wivu kivile ila napenda visasi piah nikihs umecheat woo natafut dem na mm
Hamjaoana kinakushinda nn kutema bungo au unadhani utapata ladha ya embe endelea na ujinga ezra anakula mzigo ww unahahamaa kama zezeta
Daaah sasa nitaacha wangapi mkuu Asante Kwa ushauri naufanyia kazi
 
Nimeumia ulivyosema kwamba hujawahi kufanya kweli ila unanyapia tu mzigo hupewi.
Inaonekana wewe mpole na zoba, yaani unajua mkeo analiwa zaidi ya mara tatu na unamsamehe dah!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena unampigia simu aliyemkaza aachane na mkeo kistaarabu??
Bro hata hao watoto sio wako na fanya upime ngwengwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…