Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Mzee kuaminiana huwa ni Mara moja. Kisasi siku zote ni uchungu alionao mtu juu ya jambo.
Na uchungu Ni hasira iliyokamaa ndani ya mtu. Kwa hapo mzee hata akikuta msg ya kikazi muandiko wa kike hasira zinawaka anajichatisha na kina mzabzab analiwa mzigo.
Na hiyo kamwe haiishi ndani yake Hadi kifo.

Bro kuondoa hiyo tabia mfyagie huyo Mgunda baada ya muda utapona.
 
Kwani ukimuacha na kukubali kuanza upya Kuna ubaya gani?

Huyo alichokitaka na anachokitaka ni kutawala/ kukutuliza/ kukupanda kichwani asha kum si matusi tayari kashakuweza.

Kumbuka wakati wewe ukitulia mwenzio anaendelea na mizagamuo tu.
Hao ndio uliogundua, je usio wajua?

Anakupa masharti na wewe kama kenge unayafuata!?

Huna mke sema umeweka kahaba ndani
 
Mkuu huyu wangu ana kalio la kawaida Sana kabla sijaamua kuishi nae nilizingatia Sana tabia njema ni vile tu game halina mwenyewe limechange fasta
 
Pole mkuu, nianze kwa kusema ukiona mwanamke anakudharau ni kwa sababu umeruhusu hilo, ukiona mwanamke anakucheat hali kadhalika.

kosa kubwa ulifanya ni kumkatata anakusaliti na ukamsamehe ukadhani ndio kumuonyesha upendo. MWANAUME HALISI HAWEZI KUSAMEHE USALITI WA MWANAMKE, na mwanamke apaswa kujua hivyo. Sasa wewe mke wako atatombw.a sana sana anajua hakuna kitu utafanya.


Andiko lako limejaa malalamiko mengiii kwa hulka hiyo sidhani hata kama mkeo unauwezo wa kumuwekea mipaka na akienda kinyume ukamchukulia hatua kali sidhani. Umekaa kinyonge nyonge na ndio maana anafanya atakalo
 
Acha uongo wewe nyie wanawake wengi akilini zenu ni mbovu,mkisha anza kuchepuka huwezi kuacha mpaka siku unazikwa.
Mwanamke malaya unapiga chini hata biblia imesema
 
 
Humjui mkeo, tunamla sana huku nje sisi workmates colleagues & schoolmates anatupa sana utamu

Nasisitiza mkeo huku nje tunamla sana na nimeshamjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…