Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Hapo mimi ningepotea nyumbani kwa angalau siku nne hadi tano

Siku ya kurudi ningehakikisha narudi na ushaidi wa wazi kwamba nilikua na mwanamke mwingine ,akizua vagi nakuwa siambiliki mkorofi ujeuri moto yani alafu napotea tena kwa siku tatu hadi nne ..,

Kama asipoondoka mwenyew basi nitaondoka mimi mwenyewe na mapenzi yaishie hapo

Ili laweza lisieleweke kwa sasa hivi lakini utakapo mpambania sana kwa kuwa mume mwema ,kumsamehe vya kutosha na bado akaja kukuacha, utaelewa vizuri kwanini mimi ningefanya hivyo

Mwisho niseme hakuna sehemu duniani hapa utapendwa kwa kuwa mtu mzuri watakutumia na kukuacha .
 
Bro! Shituka! Mke wako anapenda kucheat. Na sio kuwa ana visasi au nn hapana. Yeye kucheat kwake kawaida. Bitch ain't loyal kabisa. Na izo ulizogundua ndo anajitetea kwa kukufanya ww ndo uonekane umesababisha lakin mwanamke anayejiheshimy bro hawezi toa mwili wake ili tu kulipiza...mwili n kitu cha thamani sana kwa mwanamke. Ukiona anatoa toa tu uo n uchafu anaendekeza.

Ushauri wangu kwako. Anza kujitafutia mke kaka. Hapo huna mke. Mtasameana mara kibao ila ataendelea kuliwa nje na siku unagundua utakuwa Una umeme tayari. Mwanamke anayejiheshimu akikukuta umecheat n either atakuacha au maamuz magumu ila sio kwnda kujitoa mwili uko nje!

Tafuta mke kaka hapo huna mke. Ukiona sawa endelea kukarbisha uchafu ndani ila siku unaoa na watu wanamjua mkeo nje ndani ndo utaona umefeli kinoma. Yupo hapo kwa sababu nyngn ila sio mapenzi
 
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha ya hayo yoote Maisha yetu Mimi na mkewangu na mtoto wetu yamekuwa yafuraha na changamoto za hapa na pale (zakuvumilika)

Miaka yote hiyo saba iliyopita niliyokuwa Naye katika maisha sikuwahi kugundua tabia ya mkewangu ya kulipiza kisasi. Kumbe miaka yote hii nane amekuwa akinilipiza fisasi bila Mimi kujua.

Nakiri kwamba ni mwanamke ambaye alinipenda Sana kiasi Cha kutembea kifua mbele kwamba napendwa alikuwa radhi Kwa chochote ili awe na Mimi tu katika maisha yake.

Mwaka huu mwazi wa kwanza kama sio wa pili akanambia kitu Cha kushangaza Sana. Kipindi nipo chuoni miaka kama Sita iliyopita aliwahi kunifuma chumbani kwangu nikiwa na kadem flani

Haka kademi hata sikuwa nacho kwenye mahusiano, kalikuwa ni katoto ka getikali kanaishi kwenye bangaloo nikiwa napita kwao kananichekea nikajua tu kanawashwa maana kanafungiwa sana ndani. Sikumoja nikiwa napita kwao hako kadem nikakaita kakanifuata, kalitoroka kwao nikakachukua mpaka geto kwangu. Leongo ni kula mzigo lakini kumbe kalikuwa kwenye siku zake kwahiyo mission ikawa failed, nikaenda kukanunulia ped maana kaliniambia kanataka kulala kwangu, kwakuwa kalikuwa bize na cm yangu nikaweka flight mode nisipatikane kumbe mwanamke wangu kanipigia wee hanipati

Keshoyake asubuhi mwanamke wangu akatufuma live geto kalekadem kakiwa kamevaa nguo yangu. Ilikuwa patashika sitasahau hii siku.

Tulifanikiwa kusolve Hilo tatizo mkewangu alinielewa japo kishingo upande

Kumbe Imani yoote aliyokuwa nayo kwangu ilifia pale aliponifuma na kale kadem.

Sasa mwaka huu ndo anakuja kunambia kuwa alijua kwamba kale kademu nilikaginga kwahiyo nayeye kulikuwa na jamaa flani anamtongoza tongoza akaamua akampe mzigo kupunguza machungu.

Baada ya kuambiwa haya nilisikitika Sana Kwasababu Mimi sikuwa nimefanya mapenzi na kale kabinti lakin yeye akanilipizia Kwa kufanya kweli.

Kabla sijakutana na mkewangu nilikuwa na marafiki wakiume na wakike. Ilifikia hatua mkewangu akanikataza kuwa na marafiki wa kike kutokana na wivu aliokuwa nao kwangu.

Nilijitahidi kumthibitishia kuwa hakuna kingine zaidi ya urafiki tu hasahasa maisha yangu ya chuo nilikuwa nachangamana na jinsia zote, kunawakati nilidhani amenielewa.

Mwaka huu mwezi wa tatu hiv nikagundua mwenzangu amebadilika mapenzi yamepungua kwangu, namjua mkewangu ni mtu wa kutafuta furaha kutoka kwangu mara ghafla akawa Hana habari na Mimi.

Kazini kwangu kuna mdada akawa amenizoea Sana tukawa tunawasiliana na kuchat lakini nilimtaadharisha kuwa ninamke na mtoto tuseme tu tulipenda Sana kutaniana Kila siku zilivyozid kwenda utani ukawa unazidi nikajua huyu atakuja kuniletea matatizo Kwa mkewangu nikambolock.

Baada ya siku kadhaa yule dada wa kazini akanifata kistaarabu akaniomba nimsamehe Kwa utani uliopitiliza basi nikaona Acha nimblokue

Japo nimemblokua lakini nilishaisoma akili yake sio timamu Sana. Kumbe mkewangu alikuwa akisoma sms zangu na amekuwa akitufatilia Mimi na huyo dada wa kazini kwangu.

Akanionya nisiwe na ukaribu na huyo dada. Nilichofanya nikaamua kuwa nambadilisha majina kilasiku mara Leo nimsevu Mgunda mara nimsave Onyango.

Kumbe hayo yoote mkewangu alikuwa kashajua.

Nilipata zawadi ya mfanyakaz Bora wa mwezi kazini kwetu nikapewa zawadi nikapigwa na picha, ilikuwa jiko la gas yule dada rafkiangu wa kazini akaniomba Lile jiko akanambia atanirudiahia hela kidogo kidogo nikampa maaana sikuwa na shida nalo Sana.

Wakati huo mkewangu simuelewi anamajibu ya mkato Hana muda namm, sio mtu wa kushinda nyumbani.

Kumbe mkewangu ameona zile picha za Mimi kupewa zawadi kazini na zawadi hajaiona nyumbani basi akajua mojakwa Moja nimemuhonga yule demu wa kazini kwangu.

Kumbe mkewangu alikuwa na urafiki na jamaa flani hivi sijui walisomanae, yule jamaa alikuwa anmfanyia vitu mkewangu mara amtoe out mara amletee zawadi mda huo me sielewi namuonax mkewangu mapenzi hayapo kabisa kwangu najaribu kuchunguza ni nini sababu.

Nakuja kujua nishachelewa Sana jamaa kashamla mzigo mkewangu na kashaanza kumpotezea.

Nilipogundua Hilo niliumia Sana lakini nikakumbuka aliwahi kunifuma na mwanamke chumbani na alinisamehe na kutokana na alivyoomba msamaha nilishindwa kuacha kumsamehe, niseme nilikuwa nampenda Sana mkewangu nikaamua kumsamehe japo wengi watanishangaa ila niliamua hivyo Kwasababu ningepoteza vingi nilivyo vijenga kama tungeachana.

Mkewangu alinambia aliamua kucheat Kwasababu alidhani nimecheat na yele mdada wa kazini kwangu

Hebu tizama mkewangu amrudia Tena kunilipizia kisasi kwa kunicheat akidhani Mimi nimemcheat. Basi kuanzia hapo nikawa nimeijua tabia ya visasi aliyonayo mkewangu.

Tulianza maisha mapya na mkewangu sikutaka Tena mawasiliano na yule Binti wa kazini kwangu na mkewangu akaacha mawasiliano na yule jamaa aliyenicheat Naye.

Hakika mkewangu alirudisha mapenzi yote kwangu akaniheshimu nikampenda maisha yalikiwa matamu hizo siku baada ya miezi kama minne hivi yule jamaa akaanza kupigia mkewangu.

Nilipogundua Hilo nikaongea na mkewangu akanambia ananiahidi hatafanya kitendo alichokifanya Cha kunicheat Tena katika maisha yake kwahiyo nimuache tu awasiliane Naye huyo jamaa hakitaharibika kitu.
Nikaona hiyo sio kweli nikaamua kumvutia jamaa waya nikamwambia aache kuwasiliana na mkewangu na nikamfahamisha kuwa najua kuwa alishatembea na mkewangu najua yote lakini Kwa amani tu nikamuomba aache kuwasiliana na mkewangu jamaa alinielewa vzuri sana aliacha huo mchezo kabisa.

Maisha yakaendelea baada kama miezi miwili hivi nikaanza kugundua kuwa mkewangu ameanza Tena kunipuuza haniheshimu majibu ya shortcat Hana muda na Mimi nikaanza Tena kumchunguza nikagundua amekuwa na marafiki wa kiume kadhaa anachart nao.

Nilipomuuliza akasema ni rafiki zake kwakuwa hata Mimi mbona ninamarafiki wa kike.

Baada ya siku mbilitatu nikafuma sms ya jamaa mmoja miongoni mwa hao rafiki zake akimtongoza, Tena saa Tano usiku.

Nikampigia cm huyo jamaa nikaongea nae kiume kiutu uzima jamaa akaniomba msamaha akakata mawasiliano na mkewangu, nikamwambia mkewangu sitaki uwe na marafiki wa aina hii kunasiku watakuja kumponza kapoteza familia yake Kwasababu Hawa rafiki wasioeleweka.

Baada ya siku tatu mkewangu akaanza kuchat na jamaa anaitwa Ezra huyu Ezra akaanza kumtongoza mkewangu lakin mkewangu alimkata kiaina nilichoshangaa mkewangu alionekana anapenda Sana kuweka urafiki na huyu Ezra hata nilipomwambia akasema amesha mwambia Ezra kuwa wawe marafiki tu na sio wapenzi na Ezra ameridhika na Hilo.

Binafsi nikakumbuka tabia ya visasi ya mkewangu ameona kwakuwa Nina rafiki wakike ninaowasiliana nao ambao kwakweli hatuna mahusiano ya kimapenzi na hao wengi ni wafanyakazi wenzangu na hata mkewangu anajua kabisa kuwa Sina mpenzi zaidi yake lakini anachokifanya hapa ni kulipiza kisasi ndomaana hataki kuacha kuchart na huyu Ezra.

Nikamwambia aache kuchart na Ezra akanijibu kama anataka niache kuchart na Ezra basi na Mimi nisiwe na rafiki wa kike.

Kinachoniumiza kichwa hapa sio Ezra. Ni hii Hali ya kulipiza visasi Mkewangu tabia hii nitaidhibiti vipi? Au haiwezekani? Maisha ya kuchetiwa wakati me najitahidi kujilinda na kumpenda mkewangu lakini yeye ananilipa Kwa haya kweli.

Tabia hii ya visasi ningeju tangu zamani nisingeamua kuishi naye lakini yote hya nimeyaju mwaka huu je ninauhakika gani amekuwa akinicheat Kila anapohisi nimemcheat.
Naombeni mnishuri nipo njia panda sijui lakufanya nishuke tu safari imenishinda au niendelee na safari, natatua vp hili tatizo

Wanaume tumebaki wachache sana. Ila na wewe haumheshimu mke wako, unafanya mambo ya kipumbavu kwenye cycle alipo mke wako. Hiyo ndoa ina machungu mbele msipojirekebisha au kuachana.
 
Kama haujafunga nae ndoa ishia hapo hapo atakusumbua sana mbeleni.
Hivyo tu je ukifunga nae ndoa si atahatarisha afya ya akili yako.
Mtu asiyejua thamani ya mwili wake hafai kuitwa mke au mme
 
Pole sana, mpatie talaka 1 tu akapumzike kwao kwa muda, mke anayekipiga kisasi kwa kufanya uzinzi sio mke huyo bali ni jalala
 
Usiwasikilize wataokwambia muache, wanawake wote tunalipa visasi, Ila Kwa Siri....tatizo mkeo alitoroka mkoleni.
Kingine nyie mnapendana, Kama kweli unataka kumbadilisha, badilika wewe, Acha kuchat chat hovyo na wanawake, Jenga Imani ulioibomoa kwake.....upuuzi wako Fanya Kwa Siri sana asijue, wanawake hatupendi dharau.
Daaaaaaa!!!!
 
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha ya hayo yoote Maisha yetu Mimi na mkewangu na mtoto wetu yamekuwa yafuraha na changamoto za hapa na pale (zakuvumilika)

Miaka yote hiyo saba iliyopita niliyokuwa Naye katika maisha sikuwahi kugundua tabia ya mkewangu ya kulipiza kisasi. Kumbe miaka yote hii nane amekuwa akinilipiza fisasi bila Mimi kujua.

Nakiri kwamba ni mwanamke ambaye alinipenda Sana kiasi Cha kutembea kifua mbele kwamba napendwa alikuwa radhi Kwa chochote ili awe na Mimi tu katika maisha yake.

Mwaka huu mwazi wa kwanza kama sio wa pili akanambia kitu Cha kushangaza Sana. Kipindi nipo chuoni miaka kama Sita iliyopita aliwahi kunifuma chumbani kwangu nikiwa na kadem flani

Haka kademi hata sikuwa nacho kwenye mahusiano, kalikuwa ni katoto ka getikali kanaishi kwenye bangaloo nikiwa napita kwao kananichekea nikajua tu kanawashwa maana kanafungiwa sana ndani. Sikumoja nikiwa napita kwao hako kadem nikakaita kakanifuata, kalitoroka kwao nikakachukua mpaka geto kwangu. Leongo ni kula mzigo lakini kumbe kalikuwa kwenye siku zake kwahiyo mission ikawa failed, nikaenda kukanunulia ped maana kaliniambia kanataka kulala kwangu, kwakuwa kalikuwa bize na cm yangu nikaweka flight mode nisipatikane kumbe mwanamke wangu kanipigia wee hanipati

Keshoyake asubuhi mwanamke wangu akatufuma live geto kalekadem kakiwa kamevaa nguo yangu. Ilikuwa patashika sitasahau hii siku.

Tulifanikiwa kusolve Hilo tatizo mkewangu alinielewa japo kishingo upande

Kumbe Imani yoote aliyokuwa nayo kwangu ilifia pale aliponifuma na kale kadem.

Sasa mwaka huu ndo anakuja kunambia kuwa alijua kwamba kale kademu nilikaginga kwahiyo nayeye kulikuwa na jamaa flani anamtongoza tongoza akaamua akampe mzigo kupunguza machungu.

Baada ya kuambiwa haya nilisikitika Sana Kwasababu Mimi sikuwa nimefanya mapenzi na kale kabinti lakin yeye akanilipizia Kwa kufanya kweli.

Kabla sijakutana na mkewangu nilikuwa na marafiki wakiume na wakike. Ilifikia hatua mkewangu akanikataza kuwa na marafiki wa kike kutokana na wivu aliokuwa nao kwangu.

Nilijitahidi kumthibitishia kuwa hakuna kingine zaidi ya urafiki tu hasahasa maisha yangu ya chuo nilikuwa nachangamana na jinsia zote, kunawakati nilidhani amenielewa.

Mwaka huu mwezi wa tatu hiv nikagundua mwenzangu amebadilika mapenzi yamepungua kwangu, namjua mkewangu ni mtu wa kutafuta furaha kutoka kwangu mara ghafla akawa Hana habari na Mimi.

Kazini kwangu kuna mdada akawa amenizoea Sana tukawa tunawasiliana na kuchat lakini nilimtaadharisha kuwa ninamke na mtoto tuseme tu tulipenda Sana kutaniana Kila siku zilivyozid kwenda utani ukawa unazidi nikajua huyu atakuja kuniletea matatizo Kwa mkewangu nikambolock.

Baada ya siku kadhaa yule dada wa kazini akanifata kistaarabu akaniomba nimsamehe Kwa utani uliopitiliza basi nikaona Acha nimblokue

Japo nimemblokua lakini nilishaisoma akili yake sio timamu Sana. Kumbe mkewangu alikuwa akisoma sms zangu na amekuwa akitufatilia Mimi na huyo dada wa kazini kwangu.

Akanionya nisiwe na ukaribu na huyo dada. Nilichofanya nikaamua kuwa nambadilisha majina kilasiku mara Leo nimsevu Mgunda mara nimsave Onyango.

Kumbe hayo yoote mkewangu alikuwa kashajua.

Nilipata zawadi ya mfanyakaz Bora wa mwezi kazini kwetu nikapewa zawadi nikapigwa na picha, ilikuwa jiko la gas yule dada rafkiangu wa kazini akaniomba Lile jiko akanambia atanirudiahia hela kidogo kidogo nikampa maaana sikuwa na shida nalo Sana.

Wakati huo mkewangu simuelewi anamajibu ya mkato Hana muda namm, sio mtu wa kushinda nyumbani.

Kumbe mkewangu ameona zile picha za Mimi kupewa zawadi kazini na zawadi hajaiona nyumbani basi akajua mojakwa Moja nimemuhonga yule demu wa kazini kwangu.

Kumbe mkewangu alikuwa na urafiki na jamaa flani hivi sijui walisomanae, yule jamaa alikuwa anmfanyia vitu mkewangu mara amtoe out mara amletee zawadi mda huo me sielewi namuonax mkewangu mapenzi hayapo kabisa kwangu najaribu kuchunguza ni nini sababu.

Nakuja kujua nishachelewa Sana jamaa kashamla mzigo mkewangu na kashaanza kumpotezea.

Nilipogundua Hilo niliumia Sana lakini nikakumbuka aliwahi kunifuma na mwanamke chumbani na alinisamehe na kutokana na alivyoomba msamaha nilishindwa kuacha kumsamehe, niseme nilikuwa nampenda Sana mkewangu nikaamua kumsamehe japo wengi watanishangaa ila niliamua hivyo Kwasababu ningepoteza vingi nilivyo vijenga kama tungeachana.

Mkewangu alinambia aliamua kucheat Kwasababu alidhani nimecheat na yele mdada wa kazini kwangu

Hebu tizama mkewangu amrudia Tena kunilipizia kisasi kwa kunicheat akidhani Mimi nimemcheat. Basi kuanzia hapo nikawa nimeijua tabia ya visasi aliyonayo mkewangu.

Tulianza maisha mapya na mkewangu sikutaka Tena mawasiliano na yule Binti wa kazini kwangu na mkewangu akaacha mawasiliano na yule jamaa aliyenicheat Naye.

Hakika mkewangu alirudisha mapenzi yote kwangu akaniheshimu nikampenda maisha yalikiwa matamu hizo siku baada ya miezi kama minne hivi yule jamaa akaanza kupigia mkewangu.

Nilipogundua Hilo nikaongea na mkewangu akanambia ananiahidi hatafanya kitendo alichokifanya Cha kunicheat Tena katika maisha yake kwahiyo nimuache tu awasiliane Naye huyo jamaa hakitaharibika kitu.
Nikaona hiyo sio kweli nikaamua kumvutia jamaa waya nikamwambia aache kuwasiliana na mkewangu na nikamfahamisha kuwa najua kuwa alishatembea na mkewangu najua yote lakini Kwa amani tu nikamuomba aache kuwasiliana na mkewangu jamaa alinielewa vzuri sana aliacha huo mchezo kabisa.

Maisha yakaendelea baada kama miezi miwili hivi nikaanza kugundua kuwa mkewangu ameanza Tena kunipuuza haniheshimu majibu ya shortcat Hana muda na Mimi nikaanza Tena kumchunguza nikagundua amekuwa na marafiki wa kiume kadhaa anachart nao.

Nilipomuuliza akasema ni rafiki zake kwakuwa hata Mimi mbona ninamarafiki wa kike.

Baada ya siku mbilitatu nikafuma sms ya jamaa mmoja miongoni mwa hao rafiki zake akimtongoza, Tena saa Tano usiku.

Nikampigia cm huyo jamaa nikaongea nae kiume kiutu uzima jamaa akaniomba msamaha akakata mawasiliano na mkewangu, nikamwambia mkewangu sitaki uwe na marafiki wa aina hii kunasiku watakuja kumponza kapoteza familia yake Kwasababu Hawa rafiki wasioeleweka.

Baada ya siku tatu mkewangu akaanza kuchat na jamaa anaitwa Ezra huyu Ezra akaanza kumtongoza mkewangu lakin mkewangu alimkata kiaina nilichoshangaa mkewangu alionekana anapenda Sana kuweka urafiki na huyu Ezra hata nilipomwambia akasema amesha mwambia Ezra kuwa wawe marafiki tu na sio wapenzi na Ezra ameridhika na Hilo.

Binafsi nikakumbuka tabia ya visasi ya mkewangu ameona kwakuwa Nina rafiki wakike ninaowasiliana nao ambao kwakweli hatuna mahusiano ya kimapenzi na hao wengi ni wafanyakazi wenzangu na hata mkewangu anajua kabisa kuwa Sina mpenzi zaidi yake lakini anachokifanya hapa ni kulipiza kisasi ndomaana hataki kuacha kuchart na huyu Ezra.

Nikamwambia aache kuchart na Ezra akanijibu kama anataka niache kuchart na Ezra basi na Mimi nisiwe na rafiki wa kike.

Kinachoniumiza kichwa hapa sio Ezra. Ni hii Hali ya kulipiza visasi Mkewangu tabia hii nitaidhibiti vipi? Au haiwezekani? Maisha ya kuchetiwa wakati me najitahidi kujilinda na kumpenda mkewangu lakini yeye ananilipa Kwa haya kweli.

Tabia hii ya visasi ningeju tangu zamani nisingeamua kuishi naye lakini yote hya nimeyaju mwaka huu je ninauhakika gani amekuwa akinicheat Kila anapohisi nimemcheat.
Naombeni mnishuri nipo njia panda sijui lakufanya nishuke tu safari imenishinda au niendelee na safari, natatua vp hili tatizo
Oa mke wa Pili naye aoe mme wa Pili.
Ujue Kuna kuoana na kuoa , kwanza nijibu upo kundi gani. Ukiamua kuongeza hata wake wawe kumi unao huo uamuzi ama utakuja kuomba ushauri hapa ama kwa mke wako.samahani lakini Ila nahitaji nielewe Kuna mtawala ama wote mko sawa. Ni ndoa ya kizungu ya wasomi waafrika ama ya waafrika halisi
 
Umeomba ushauri kwa waungwana humu, wanakushauri kwa kadri ya mawazo na maoni yao kila mtu mmoja kwa anavyoliona jambo lako ila wewe unawacrush tena maoni na ushauri wao 🤣 🤣 🤣 🤣

Inaonekana wewe tayari una maamuzi yako kichwani unatuchosha tu hapa

Waitwaje tena vile?
 
Dah! Nilichogundua kweli watu tuko tofauti. Mimi Kwa kosa kama hilo wala siwezi kudili na huo mchepuko wake na dili na yeye Moja Kwa Moja. Ama ngumi au kuachana, au vyote Kwa pamoja. Ilinitokea Kwa mchumba wangu inasikitisha sana, ni stori ndefu. Nilimwambia tu usikanyage tena kwangu, yaani usije nitakutoa roho. Sio Siri niliumia ila katika maisha maamuzi magumu ni muhimu. Hongera mkuu kwa uvumilivu.
 
Bro unaishi maisha ya stress sana.
Aina ya mwanamke uliyenaye nilishaachana naye kitambo Kwa sasa Nina Amani tele. Uwezi kuishi na mwanamke wa namna hiyo utakuja kufa wewe. Mtoto mmoja sasa umepitia changamoto za hivyo je Mkifikisha 4 utakuwa umepitia mitihani mingapi?. Ndivyo alivyofundwa kwao kuwa ukichepuka naye alipize?. Sikutetei ila hamnamo mwanamke humo. Nachukia tabia hiyo. Nilipiga chini kitambo akalipize visasi wengine tuone.
 
Usiombe kuwa na mke
Mwalimu
Nurse
Polisi
Mhasibu
Mkaguzi Elimu
Mjeda

Mhasibu hapo sizani.

Yaani Mhasibu hapana aisee.

Kama umekutana Na incidence ya Mhasibu mmoja Au wawili usichukulie wengi au wastani wao kuendenda hivyo la hasha.

Kwanza hata haraka haraka Mhasibu mwanamke kukuta tegemezi ni wachache.

Wastani wanaweza kujikimu wenyewe bila kutegemea Mwanaume.

Unlike hao wengine hapo.

Mhasibu ni Mweledi (Proffessional),

Tena ukute full ana CPA, hawezi kuwa na tamaa za Umalaya sababu ya kutaka pesa ya Mwanaume,
Labda iwe hulka yake na wenye kufanya Umalaya kwa hulka ni wachache ukilinganisha Na wale tegemezi wa pangu pakavu tia mchuzi.

Mhasibu labda wale wa NABOCE au wale wakuunga unga failure za hapa na pale Au wa vyuo visivyotambulika.
 
Back
Top Bottom