Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Niliwahi kuambiwa kuwa Wazee wa Kichaga miaka ya nyuma walikua hawahudhurii kwenye sherehe za harusi za mabinti zao. Tena sio kwenye kupokea mahari wala siku anaolewa na kuondoka kabisa hapo nyumbani

Kikubwa walikua wanaona kama ni kitendo cha aibu na fedheha kwa baba mtu mzima anajua kabisaa bint yake anakwenda kufanywa nini halafu eti yeye asherehekee[emoji3][emoji3][emoji3]

Nadhani walipogundua kua mwanamke kaumbwa kwa ajili ya hiyo shughuli na wala sio tusi wakaanza kuhudhuria kwenye sherehe za ndoa za binti zao[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata wazee wa Kihaya zamani hawakuwa wakienda kwenye harusi za binti zao.

Binti alikaa kwenye laps ya baba na kupewa nasaha za mwisho, halafu allambiwa aende kwa mmewe na asigeuke nyuma.
 
Hi guys,

Hope mpo sawa,

Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na kuficha, wakati Mama yake alikuwa tu sawa usoni, ya moyoni siyajui!

Nilizoea kuona wamama ndiyo huwa wanalia zaidi, Kulia Baba kulinifanya nijiulize ni machozi ya furaha, au ni kawa tu emotional? Ama kuna kitu anafikiria kuhusu bintiye, sikupata jibu na sikuweza uliza yoyote ila kiukweli ile hali ilinifanya nijiskie vibaya,

Nikafikiria kuhusu yule mzee wangu, jinsi anavyonijali na kunipenda vile na yeye atajiskiaje siku akijua officially ndiyo naondoka mikononi mwake, atajiskia vibaya kwamba sasa binti yake unaenda chini ya uangalizi wa mwanaume mwingine tofauti na yeye.!? Or will he be proud of himself for raising Me well.??

Eti wanaume, utajiskiaje huyo bintiyo kwa jinsi unavyompenda hivyo, ikafika siku ndiyo anaenda officially kwenye usimamizi wa mwanaume mwingine tofauti na wewe?? Mwanaume usiyemjua tabia zake, hujui kama atampenda kweli na kumjali kama unavyofanya wewe, utakuwa na amani kweli?? Ama kwa wale tayari wako na experience ulijiskiaje siku ulipoozesha binti yako.!? am just being curious honestly..!
Kwa wale wenye watoto wa kike,huwa tunachukulia mabinti zetu kama kitu very delicate sana,kitu chenye thamani na uzuri uliotukuka,tunakuwa na lengo la kumkuza binti aje awe "the fine young woman"uzuri ndani na nje,beauty with brain.
Sasa Akifika hatua anaolewa,unajiuliza yote Yale uliyowekeza je huko aendako,atatunzwa kama ulivyomtunza wewe?
At that point,it's normal to get emotional.
For boys!!!naaah,they are born to suffer?we only feel lost for our girls only
 
Feeling ya kukabidhi mwanao kwa watu wageni huwa sio comfortable kbsa,
Mimi juzi nimepeleka binti yangu mdogo kuanza kuanza chekechea ,niliumia sana kumwacha huko halafu nikarudi nyumbani ,sikuwa comfortable kbsa
Sasa ikifika wakati wa ndoa mambo yanaweza kuwa magumu kwangu sana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
kwakweli nahisi siku hiyo ntakua namwambia mkwe kimoyo moyo 'ukimpiga huyu mtoto ntakufanya ujue siri ya mtungi' maana the way nnavyo kapenda haka kabinti sitamani kuja kuona mwanaume anakaharibia furaha yake.

ndio maana katika makuzi yake nahitaji kumjenga kiuchumi ikiwezekana huko mbeleni ndoa yake iwe kama yeye ndio ameoa, na kwa trend hii ya vijana kuto jituma hili naamini linawezekana.
 
Hata wazee wa Kihaya zamani hawakuwa wakienda kwenye harusi za binti zao.

Binti alikaa kwenye laps ya baba na kupewa nasaha za mwisho, halafu allambiwa aende kwa mmewe na asigeuke nyuma.
Jamani,
Hiyo 'usigeuke nyuma', nadhani ilikuwa na maana kubwa mno..!! Sivyo??
 
Kwa wale wenye watoto wa kike,huwa tunachukulia mabinti zetu kama kitu very delicate sana,kitu chenye thamani na uzuri uliotukuka,tunakuwa na lengo la kumkuza binti aje awe "the fine young woman"uzuri ndani na nje,beauty with brain.
Sasa Akifika hatua anaolewa,unajiuliza yote Yale uliyowekeza je huko aendako,atatunzwa kama ulivyomtunza wewe?
At that point,it's normal to get emotional.
For boys!!!naaah,they are born to suffer?we only feel lost for our girls only
aaaaw' How proud I am to be Daddy's daughter..!!
Haha, eti they're born to suffer..! Mungu anakuona Juan. !!
 
Feeling ya kukabidhi mwanao kwa watu wageni huwa sio comfortable kbsa,
Mimi juzi nimepeleka binti yangu mdogo kuanza kuanza chekechea ,niliumia sana kumwacha huko halafu nikarudi nyumbani ,sikuwa comfortable kbsa
Sasa ikifika wakati wa ndoa mambo yanaweza kuwa magumu kwangu sana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kama tu shule unapata shida je itakuwaje huko duniani anakoenda kuwekeza kila kitu kuanzia spiritual, emotional, economical and physical well being..!
it's kinda complicated hakika..!!
 
kwakweli nahisi siku hiyo ntakua namwambia mkwe kimoyo moyo 'ukimpiga huyu mtoto ntakufanya ujue siri ya mtungi' maana the way nnavyo kapenda haka kabinti sitamani kuja kuona mwanaume anakaharibia furaha yake.

ndio maana katika makuzi yake nahitaji kumjenga kiuchumi ikiwezekana huko mbeleni ndoa yake iwe kama yeye ndio ameoa, na kwa trend hii ya vijana kuto jituma hili naamini linawezekana.
Zidi kuwa Baba mwema kwake mkuu, ila nisaidie kidogo hiyo feeling uliyonayo kwa binti yako utajiskiaje baba mkwe wako akiwa nayo kwa binti yake pia, (iwe kama yeye ndiyo ameoa)..!
 
Ningekua kwenye kundi la vijana wasiojituma huenda ningeweza kukupa hisia mujarabu ya kuolewa na msichana, lakini since day uno, nimekua nikipambana kuhakikisha natengeneza ngome ambayo mimi ndio mfalme, sory to disappoint.
 
ningekua kwenye kundi la vijana wasiojituma huenda ningeweza kukupa hisia mujarabu ya kuolewa na msichana, lakini since day uno, nimekua nikipambana kuhakikisha natengeneza ngome ambayo mimi ndio mfalme, sory to disappoint.
you didn't disappoint me wala, I've been impressed walaqhi'..!
Napenda mwanaume aijue nafasi yake kwenye familia na jamii kiujumla.!
 
Hamna kikubwa aolewe unajua

Kuolewa na kuachika na kurudi nyumbani ni bora kuliko

Kuzalia nyumbani chini ya uangalizi wangu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndiyo, it's kinda hard kwa wazazi wetu wakati mwingine huwa tunawa disappoint sana, ila nashukuru bado huwa wanaendelea kutupenda regardless.!
 
Back
Top Bottom