comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??
Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.