Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.

Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??

Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.
Cha kwanza kilicho kikubwa ni kuukana mwili wako mwenyewe, soma Wagalatia 5: 17 -26
 
Kosa pesa tu utaweza
Hata kula kwa macho kutamani mwanamke uzini naye kwa macho,au kwa kujichua ,nafsini mwako hata kama hujakutana naye kimwili bado ila tayari ni dhambi na chukizo kwa Mungu.
Dawa ni kufuta mawazo mabaya akilini na kufuta tamaa mbaya za mwilini.Kwa kuanza na wewe mwenyewe kuamua na kusimamia msimamo wako ,na kufanya sala na Roho wa Mungu kikusaidia.Ukimpinga shetani naye atakukimbia.Na Mungu akimkaribisha ataikupa nguvu za Rohoni za kushinda dhambi.
 
Ukipata kamnyeso ndio utajua kuwa duniani ulikuja kufanya nini..............utawashwa hilo bichwa la chini liwe kama linataka kupasuka ukipona urudii tena
 
Nilivyokuwa chuo nilikuwa nashangaa pisi zile zinalika na kina nani,kumbe baadae kujua wanachama wa tinder wana enjoy.Na mimi nilijiunga 🤣🤣,kuna dem unakutana nae unasema huyu live hutoboi hata uje na nini.

Ila kuna madem kama 10 wa chuo baada ya kuona wamenielewa nikatoka tinder,ni mwendo mdundo ila wale watoto wote waarabu na wahindi cha ajabu hawana nyodo ukiwakuta live.
THANKS TINDER.
Hao waarabu hatuwapato mbona
 
Back
Top Bottom