Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

VIJANA badala wanipe USHAURI wanasifia tinder kuna mademu wakali Sana 🤣 Yani wananishawishi tena niinstall upya, hii kesi ya nyani nimempelekea ngedere
 
Aisee wee kweli ulijua nini maana ya chuo...mademu 10 Kila faculty una demu mzeya. Safi sana.
Sasa jamaa walikuwa wanakupa ushirikiano mambo ya exile? 🤣🤣🤣
Afu ni bahati pia ,kwasababu mimi nilikuwa naogopa profile za pisikali nafata zile za kawadi na sura za baba.siunajua tena upwir* kumbe madem wakishua hasahasa waarabu na wahindi hawajiweki profile.

Afu ni zile pisi ambazo ni introvert sana afu zinataka mechi.Aisee nilijisevia mpaka mgongo na kiuno nilihisi vinachomokašŸ˜‚.
 
Hongera sana mkuu kwa kujitambua na kutambua tatizo na kuwa na nia ya dhati ya kuacha uzinzi.
1)Hatua nzuri sana ya kwanza ni kujutia kuchukia dhambi na kuwa na nia ya dhati ya kuacha dhambi.
2)Hatua ya pili ni kuweka mkakati plan ya kuacha dhambi mfano kuepuka vishawishi kama sehemu za anasa mitandao ya kijamii na sehemu zinayohamasisha na kampan marafiki wanaohamasisha dhambi ya uzinzi
4) Utekelezaji delete namba na mitandao,kuacha /kuepuka maeneo yenye vishawishi vyote
3)Hatua ya nne ni kumuomba Mungu kuwa mtubwa ibada sana .Unareplace baa/club (nyumba za starehe anasa,matamasha t
ya anasa za dunia---na nyumba za ibada matamasha ya ibada.
miziki /video/sinema /youtube channel/mitandao ya kijamii ya kidunia---mitandao ya kidini ya mahubiri/kusoma na kusikiliza/kutazama nena la Mungu
HONGERA SANA kwa kuwa maamuzi yametoka ndani yako umeamua mwwnyewe sasa simamia maamuzi yako weka mikakati,Muombe Mungu akusaidie.
HATA MIMI nilikuwa kama wewe hivyo hivyo na nilikuwa naacha narudi default mara kadhaa lakink nilikuwa najutia najilaumu ....baadae nikasimamia maamuzi yangu
nikadelete michepuko,nikaacha kunywa pombe,nikadelete telegramu na mitandao ya kijamii,nikaacha kwenda club,nikaacha kusikiliza miziki ya kidunia na video za kidunia
Nikaanza kusali kwa kasi ,kusikiliza mahubiri na gospel,kusali jumuiya kwenda kwwnye ibada za maombi,kusikiliza shuhuda promover youtube tv channel
Sasa hivi nimemaliza miaka miwili bila kuchepuka bila kunywa pombe ,bila kwenda club bila kusikiliza miziki ya kidunia zaidi ya kwaya ,wala movies za kidunia,MUNGU atakusaidia inaanza na wewe mwenyewe
DHAMBI YA UZINZI unatakiwa UIKIMBIE yani hii dhambi ili uweze kudhinda vishawishi vyake inatakiwa UKIMBIE kama hussein bolt toka nduki.
 
Attachments

  • images - 2024-11-10T231507.312.jpeg
    images - 2024-11-10T231507.312.jpeg
    25.3 KB · Views: 5
  • images - 2024-11-10T231601.668.jpeg
    images - 2024-11-10T231601.668.jpeg
    32.9 KB · Views: 5
  • images - 2024-11-10T231642.116.jpeg
    images - 2024-11-10T231642.116.jpeg
    52 KB · Views: 4
  • images - 2024-11-10T231748.791.jpeg
    images - 2024-11-10T231748.791.jpeg
    21.8 KB · Views: 4
  • images - 2024-11-10T231853.266.jpeg
    images - 2024-11-10T231853.266.jpeg
    28.6 KB · Views: 3
Usikute ni matapeli hao, picha unazozioƱa huko Siyo za mtu utayekutana naye.
Hili nalo sii unampiga biti kuwa ukija na ukawa tofauti utajitudiaha mwenyewe kwenu
 
Afu ni bahati pia ,kwasababu mimi nilikuwa naogopa profile za pisikali nafata zile za kawadi na sura za baba.siunajua tena upwir* kumbe madem wakishua hasahasa waarabu na wahindi hawajiweki profile.

Afu ni zile pisi ambazo ni introvert sana afu zinataka mechi.Aisee nilijisevia mpaka mgongo na kiuno nilihisi vinachomokašŸ˜‚.
Ila Hawa sura za baba wakikuona mbususu wanajituma hao...maana na wenyewe wanajua wamepata mbooo Leo kuja kuona tena mpaka paradisooooo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
ZINAA NI DHAMBI MBAYA NI UCHAFU
Japo baadhi yetu huwa wanajisifu na kuona fahari kutenda dhambi ya kuzini na kuona ni ufahari au ujanja ila ni dhambi mbaya yenye madhara makubwa.
Tofauti na dhambi nyingine ambazo mtenda dhambi hufanya nje ya mwili wake ila anayefanya dhambi ya zinaa hufanya juu ya mwili wake mwenyewe.
Anayefanya dhambi ya zinaa kwa mujibu wa biblia neno la Mungu anautwa HANA akili kwani anafanya jambo litakalo muangamiza yeye mwwnyewe.

Madhara ya KIROHO.
Ni uchafu unaofungulia mlango maroho machafu yakuingie mapepo /majini/mizimu/uchawi nguvu za giza roho za uharibifu kwako,dhambi unakutenga na Mungu,dhambi ni mauti
Lakini yule unayezini naye mnakuwa mwili mmoja unachukua maroho yake mizimu,majini,mabalaa,laana,mikosi yake
Hata wapagani wasiomjua Mungu huwa hawazini na mwanake wakiwa wanataka kusafiri wanajua ni uchafu ni mkosi ni balaa
Pia nguvu zako au kibali chako mbegu zako zile unazotoa ukikojoa manii zako ndio nguvu zako ..USIWAPE WANAWAKE NGUVU ZAKO OVYO usimwage mbegu zako avyo ni hatari kwako kiroho.
KUZINI inaweza kukuharibia maisha kabisa hata kupelekea ukafa ,ukaugua ukapata madhara makubwa ,zinaa ni ibada,mana kupitia kukutana kimwili ndio binadamu hushirikiana kumsaidia Mungu kazi ya kuumba kiumbe.(mtoto)
Kwa sababu ya zinaa kila mume ajitwalie mke wake ili kunusurika na dhambi ya zinaa(nusura ya nafsi).
 
Nashukuru sana
Hongera sana mkuu kwa kujitambua na kutambua tatizo na kuwa na nia ya dhati ya kuacha uzinzi.
1)Hatua nzuri sana ya kwanza ni kujutia kuchukia dhambi na kuwa na nia ya dhati ya kuacha dhambi.
2)Hatua ya pili ni kuweka mkakati plan ya kuacha dhambi mfano kuepuka vishawishi kama sehemu za anasa mitandao ya kijamii na sehemu zinayohamasisha na kampan marafiki wanaohamasisha dhambi ya uzinzi
4) Utekelezaji delete namba na mitandao,kuacha /kuepuka maeneo yenye vishawishi vyote
3)Hatua ya nne ni kumuomba Mungu kuwa mtubwa ibada sana .Unareplace baa/club (nyumba za starehe anasa,matamasha t
ya anasa za dunia---na nyumba za ibada matamasha ya ibada.
miziki /video/sinema /youtube channel/mitandao ya kijamii ya kidunia---mitandao ya kidini ya mahubiri/kusoma na kusikiliza/kutazama nena la Mungu
HONGERA SANA kwa kuwa maamuzi yametoka ndani yako umeamua mwwnyewe sasa simamia maamuzi yako weka mikakati,Muombe Mungu akusaidie.
HATA MIMI nilikuwa kama wewe hivyo hivyo na nilikuwa naacha narudi default mara kadhaa lakink nilikuwa najutia najilaumu ....baadae nikasimamia maamuzi yangu
nikadelete michepuko,nikaacha kunywa pombe,nikadelete telegramu na mitandao ya kijamii,nikaacha kwenda club,nikaacha kusikiliza miziki ya kidunia na video za kidunia
Nikaanza kusali kwa kasi ,kusikiliza mahubiri na gospel,kusali jumuiya kwenda kwwnye ibada za maombi,kusikiliza shuhuda promover youtube tv channel
Sasa hivi nimemaliza miaka miwili bila kuchepuka bila kunywa pombe ,bila kwenda club bila kusikiliza miziki ya kidunia zaidi ya kwaya ,wala movies za kidunia,MUNGU atakusaidia inaanza na wewe mwenyewe
DHAMBI YA UZINZI unatakiwa UIKIMBIE yani hii dhambi ili uweze kudhinda vishawishi vyake inatakiwa UKIMBIE kama hussein bolt toka

Asante Sana najitahid nimeshaanza kutekeleza
 
kiu ya dhambi ya zinaa ,tamaa za mwili ukiziendekeza mwili unavyotaka desire matamanio yake.
Huwezi kutosheleza tamaa ya mwili bila kuwa na kiasi na displine ukiongizwa na utii wa sheria ya Rohoni .Imethibitika SULEMANi alikuwa na wanawake 1000 lakini hakutosheka
Hata uoe wanawake wanne haitasaidia kuacha zinaa
Hata baltazari wa Guinea hakutosheka
Na wanawake pia ukiona yule mwanamke msamaria alikuwa na wanaume watano lakini kiu ya dhambi,haikutosheka
Maji ya uzima neno la Mungu sheriabya Mungu tuiweke moyoni mwetu tukiongozwa na ROHO MTAKATIFU.
Kwa mfano wako kaka hiyo nafsi inayokushuhudia moyoni mwako ujisikie kujutia na kuchukia na kuwa na nia ya kuacha uzinzi NI ROHO WA MUNGU..na wana wa Mungu kondoo wa Mungu wanaijua sauti yake Mungu na huisikiliza na kuifuata na Mungu anawajua watoto wake .

Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili. Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka. Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria. Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu. Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho. Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
 
Attachments

  • download (5).jpeg
    download (5).jpeg
    12.8 KB · Views: 3
1. Tafuta Mwanamke mzuri wa vigezo vyako.
Mimi Kwangu
Maji ya kunde,
Urefu 5 - 5.5 Fts
Msambwanda
Sura nzuri.
Elimu kuanzia diploma.
Sauti ya kike.

2. Kuwa busy na kutafuta Pesa
3. Muda Ć mbao haupo Kazini kuwa naye.
4. Hakikisha anavaa vizuri nguo za kumpendeza zinazokuvutia na kumwona Mwanamke.

5. Awe anapenda ngono yƠani siƓ Mpaka uombe.

Hapo utamudu kuwa na Mwanamke Mmoja ingawaje utakuwa unatamani Wengine hasa wale weƱye mvuto wa kikahaba lakini hutochepuka
 
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.

Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??

Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.
Soda umeacha ukabakiza juisi?
 
KITAKACHOKUSAIDIA uache hiyo dhambi ya zinaa ni hofu ya Mungu ,kuamua toka moyoni unataka uishinmaisha ya kumpendeza Mungu na ROHO mtakatifu akikusaidia na kuepuka vishawishi na kuishi maisha ya ibada ya imani .
Lakini bila nguvu ya rohoni na nafsi yako akili yako maamuzi yako ukiyasimamia +plus spiritual support na kukimbia vishawishi.
Yusufu /Joseph ilibidi akimbie uchi kumkimbia mke wa potifa mana bila kukimbia vishawishi +hofu ya Mungu /imani thabiti,maamuzi ya akili yako nafsi yako kukataa dhambi.
SIO RAHISI kuishinda dhambi kama HUTAJIZUIA utaendekeza tamaa ya mwili wako unavyotaka ,au ukaamini ukiwa na idadi kadhaa ya wapenzi watatosheleza kiu tamaa mbaya za mwili na mawazo mabaya ya mwili ,hii ni kwa wote wanaume hata na wanawake.
PIA KUJIZUIA mawazo mabaya na tamaa mbaya za mwili ,usintanani mwanamke au mwenza asiye mke wako .Ukimtamani mwanamke asiye wako ni sawa na tayari umeshazini naye tu Jiepushe na vishawishi kwa bidii zote.LINDA SANA MOYO WAKO kwani huo ndio uzima wako.DHAMBI NI MAUTI,mshahara wa dhambi ni mauti DHAMBI INAKUTENGA NA MUNGU.
Dhambi inafungulia laana,mikosi ,mapepo majini na roho za mauti na uharibufu kwako.
BIBLIA inasema anayezini na mwanamke HANA AKILI anafanya jambo la kujiangamiza nafsi yake mwenyewe .
 
Attachments

  • images - 2024-11-11T103711.885.jpeg
    images - 2024-11-11T103711.885.jpeg
    46.3 KB · Views: 3
Mfukoni kama kunaruhusu ududu unadinda mda wote,
lakini mwenzangu na Mim unawaza kupishana mda wa kulala na mwenye nyumba utadinda saa ngapi
 
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.

Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??

Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.

Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??

Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.
Tatizo lako unashindwa ku master matamanio. Control your thought na utaweza kufanya makubwa zaidi.
Remember wafalme wengi hata kwenye vitabu vya dini waliangushea kwa matamanio ya nyuchi
 
Back
Top Bottom