Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

Yani kila Kona, nmetoka Duka la dawa mda huu kuna kasichana kabich nimekaelewa😀, au labda tuhame dar
Ndogo sana kaka..kwa pisi zilizojaa dunia ya leo?? Ndogo sana, kwakifup namuelewa sana mleta mada, now days kuna wanawake jaman wametapakaa huko mitaani ushindwe wewe tu!. So mara 8 for 15 yrs ni wastan wa kuchepula mara 1 after every 2 years.
 
Back
Top Bottom