comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Utadownload tu ni suala la mudaKIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??
Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.
Tinder Kuna warembo jamani kha! Mishahara yetu unaishia huko.KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??
Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.
🤣 KumbeTinder Kuna warembo jamani kha! Mishahara yetu unaishia huko.
Abarikiwe sana aliyekuja na badoo na tinder...msaada mkubwa kwa sie domo zege🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio mwanawane...dah Kuna pisi kule hela yako tuu🤣 Kumbe
Ila nasikia wapo makini Sana kutumia condomNdio mwanawane...dah Kuna pisi kule hela yako tuu
Mwaka wa pili huu mimi nakula wife tuu. Na katika maisha yangu ya ndoa almost 15 years now, nimechepuka mara 8 tuHakuna mwanaume wa mwanamke mmoja ,hakuna hakunaaa nakataaaa....
Hawa telegram na Badoo wanakuitaji Sanaa mkuu usiwakimbiee wataliwa na naniii😅
Mi nilidhani hujawahi chepuka mkuuMwaka wa pili huu mimi nakula wife tuu. Na katika maisha yangu ya ndoa almost 15 years now, nimechepuka mara 8 tu
Kwamba umechepuka na wanawake nane tofauti🤣Mwaka wa pili huu mimi nakula wife tuu. Na katika maisha yangu ya ndoa almost 15 years now, nimechepuka mara 8 tu
Mfalme Suleiman mbarikiwa hekima na Mungu alikuwa na wake halali 700 na na masuria 300.KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga Yani wengine MNAWEZAJE??
Hembu nipeni njia ya kuepukana na tamaa, Mimi nmeanza na kufuta Badoo, telegram na tinder maana huko ndio panachochea Sana kufanya uashetati.
🤣🤣🤣🤣🤣Mfalme Suleiman mbarikiwa hekima na Mungu alikuwa na wake halali 700 na na masuria 300.
Baltazar ana mke mmoja na michepuko 460 iliyothibitishwa
Acha zako basiUtadownload tu ni suala la muda