Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

Shukran sana boss umenena
 
Naongezea ukipata izo siku kama ni 28 gawa kwa 2 utapata 14 kwaiyo mwanamke wako atashika mimba siku ya 14 tangu uone tone la damu.Ila pia kuanzia siku ya 12,13 Atlanta pia maana yai la mwanaume linaishi masaa 72 pia siku ya 15,16 atapata pia mimba.
Pia kwa kuongezea akihitaji kuchagua jinsi ya mtoto, mtoto wa kike, basi afanye siku 2 kabla ya siku ya 14 kufika na hasifanye tena. Akitaka wakiume afanye karibu kila siku ya hizo siku za hatari au afanye siku ya 13, 14 na 15.
 
Mzunguko wa hedhi yake ni wa siku ngapi? Tuanzie hapo....!
 
Pia kwa kuongezea akihitaji kuchagua jinsi ya mtoto, mtoto wa kike, basi afanye siku 2 kabla ya siku ya 14 kufika na hasifanye tena. Akitaka wakiume afanye karibu kila siku ya hizo siku za hatari au afanye siku ya 13, 14 na 15.
Umenena boss
 
🤣🤣🤣🤣 Aiseh hyo picha uloweka yenyewe matatizo toa namba ya dem wako afundishwe na kaka angu fulani alaf atakuja akusimulie
 


Mayday! Mayday! over
 
Zingatia siku zake na sio lazima upige show daily vusha ata siku Tano siku ushushe kikombe Cha shahawa af kingine staili acha manjonjo muweke kifo Cha Mende ziingie zote.
 
Pole sana .
Nakupa mbinu ila wakija kusema mbona mimi sijapata mtoto wambie kupata ni majaliwa

Huyo mkeo au mtu wako muombe ujue ni lini anaingia kwenye siku zake .

Ukishajua kuwa anaingiaga lini basi mfuatilie kwa umakini mpaka siku atakayomaliza .

Siku atakayoingia kwenye siku zake hesabu kuanzia hiyo siku mpaka zifike siku kumi including na siku atakayomaliza baada ya hizo siku kumi utakuwa na siku nne kuu za hatari .

Yaani baada ya kuhesabu vizuri siku hizo kumi siku ya kumi na moja mpaka ya kumi na nne ni siku hatari za yeye kupata mimba .

Ila inategemea na yai la muhusika kwa siku za siku ya kumi na tano mpaka kumi na saba kupata mimba kwa baadhi ya wanawake .

Ila uhakika ni hizo siku nne , baada ya siku ya kumi na moja , mpande vizuri ipasavyo hizo siku alafu rudi kutoa mrejesho .

In case of jinsia ya mtoto ukitaka kupanga siku nyingine.

Yafanye hayo yote ukiwa unajua kuwa hakuna tatizo lolote kwako na yeye .

Uzao mwema.
 
Hakikisha hatumii dawa zozote za kuzia mimba,pia hakikisha mnafanya mapenzi siku zake za hatari,fuatiria mzunguko wake ujue,pia hakikisha kwenye siku za hatari una sex kwa kuruka siku moja moja,muweke staili ambayo shahawa zitaingia karibu na mlango wa mimba na baada ya sex ajitahidi asiende kunawa ndani ya nusu saa.

Usipanie sana relax jitahidi kula vyakula vyenye protini kwa wingi na matunda bila kusahau maji ya kutosha,pia hakikisha mwezio amepata ule ute wa mimba hua unafanana kama ule ute mweupe wa kwenye yai la kuku.
 
Mm mwenyewe wangu Apa ana siku 28 ila m nilitwanga kuanzia tarehe kumi asilimia kubwa wenye siku 28 huwa wanapata madume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…