WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Mimi ni mkatoliki mkuu
 
Stupid 🚮🚮🚮🚮
 
Mkuu trust me sisi wanaume asilimia kubwa , hatupendi kuoa mwanamke mwenye mtoto. Sio wote.
Lkn naona umesoma vizuri, kasema huyo binti hakuna tayari kusex.
Na siku hio kama alipata ujauzito inamaana alikuwa siku za hatari. Na kitaalamu mwanamke siku zake za hatari ndio ni siku ambazo anakuwa anatamani kukutana na mwanaume ila wengi wanajizuia tuu.

Ndo maana huyo binti alishidwa nini cha kufanya baada ya jamaa kumtekenya kwa muda.

Jamaa ndio muhusika mkuu.

Mbaya kajifungua kwa operation kwa hio yeye hapo alipo chance ya kupata watoto ni 2 times tuu. Maaana operation mwisho ni mara 3 mkuu.
Atakaye muoa awe tayari ni watoto 2 tuu wa kuzaa naye.
Ikitokea mtoto wake mmoja au wote wawili wamekwenda basi , labda akazini nje kwa mkewe hapana tena.
 
Ukitaka kuoa single mother lazima ujue kajifungua kwa nini kama ni operation mmmmh yeye kupata watoto ni mara 2 tuu ikitokea watoto wamekufa wako 1 au wote 2.
Basi labda ukazini nje.
 
Kuna mambo anatakiwa awekwe sawa ndo atapata mwanaume,kiukweli ulimfanyia ulaghai sana japo hiyo siyo sababu ya yeye kushindwa kuendelea maisha mengine,anashindwa kuolewa simply kwa sababu amekubeba kichwani,

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Yah kusema eti ana mtoto sijui mshono ndo maana haolewi sio kweli , aangalie tabia na mienendo yake !! Lakini sisi tunawajua single maza kibao wameolewa vizuri tu
Mshono ulimsumbua kipindi yupo chuo maana alilazimika kukaa home kwa muda mpaka mwezie wapo mwaka wa tatu na yeye ndo anaingia semester 2. Mwaka wa 1.

Kuhusu tabia hana tabia mbaya nilimuacha baada ya tuu ya kukutana na mwingine nikampenda si kwamba anatabia mbaya no.

Ila wanaume wanamuacha kwa sababu wanamwambia ashazaa.
Mwaka huu mwezi wa 9 anafikisha 33.
Huyo mmoja wa mwaka juzi alimuacha tuu baada ha kujua alijifungua kwa kisu.
Nafikili aliona ni risk kuwa nae sijui.
 
Hili la kumficha mtoto ndo linamfanya wanaume waachane naye,

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Sema umekuwa mtu mzima hizi mambo achana nazo kabisa.

Dunia hii Kwa maoni yangu mwanamke best ukiachana na mama (mzazi) basi ni mwanamke aliyebeba mimba yako na kuhatarisha maisha yake .

Yaani inakuwaje hapo unamuacha na ulikuwa ndo tatizo ,uhalisia kuna double impact .

Kwanza Kwa mwanao kuishi na mam wa kambo na pili kumuacha huyo mwanamke na ilihali kashapigwa kisu Kwa sababu yako.
 
Style ya J Cohen ndio ipoje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…