WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Hapana sidhani maana kuna siku alivyoniona alitaka kunifanya kitu kibaya mbere za watu , nikasalimika.
Daah pole sana ulimkosea sana kama Ulitumia nguvu nyingii kumlala kumbe Lengo lako umwageee tuu.. genye ni tatizo kubwa sanaa kwa wanaumeee ubaya umeharibu future nzima ta mtoto wa watuu sababu ya Tamaaaa za mwili.

Pole sana ila kama unaweza Muoeee.. Single maza mpaka kaolewa sio mchezo jua katumia nguvu kushawishi
 
Style ya J Cohen ndio ipoje??
Google "J cohen type of incision" utaijua.

Yani ni ile modified pfannestreal incision kwasababu watu wa safe surgery wanadiscourage sana pfannestreal kwasababu ina complications nyingi ktk healing compared na hiyo J cohen.
 
Pole,maisha ya uzinzi yana concequences nyingi sana,unaweza usione madhara yake sasa hivi ila yakamkuta mwanao baadaye kama hilo,inawezekana manung'uniko ya huyo binti pia yakakusababishia hata mikosi kwenye maisha yako n.k...
 
Ila mizagamuano bana 😂😂😂, halafu sijui ni pepo we mdada wa kisukuma utanisamehe kwakweli,
 
Aisee nenda Jerusalem ukatubu hiyo dhambi Mungu atakusamehe.

Umemwavjia kovu la.mwili na roho.

Maama kila mwanaume anayemvua nguo tu anakutana na kovu la operation. Akijiuliza hii nini anakumbuka kuwa huyu kashatombwa sana hadi kapasuliwa tumbo na mwanaume mwingine.

Hii kitu hakuna mwanaume ataivumilia maana wakati wa tendo tu unakumbushwa na kovu.
 
Wewe umesoma SAUT
SAUT ni chuo cha kipuuzi kwa wanaume wa pale. Wanafundishana mbinu za kutongoza first year na wanashawishiana kuwapa mabinti mimba. Sio kitu cha ajabu kusikia vijana wanamshawishi mwenzao ampe mimba demu wake kisha amuache "akateseke na mtoto" baada ya huyo demu kusumbua.

Alafu chuo kinawapa upendeleo wenye mimba sasa umegeuka ni utamaduni. Ukienda hasa BaED kuna mimba na wenye watoto wa kutosha yani wale wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Chuo kinaongoza kuwa na mimba kile na huwa hawazitoi. Chuo kigumu kwa mimba ni UDOM, lile jangwa mimba huwa wanatoa maana utateseka vibaya mno na mimba yako/mtoto wako.
Na kuna vyuo vinawabagua wajawazito na wenye watoto, hii nimeona inasaidia kudiscourage mabinti kubeba mimba.
 
Jamani hapa mnasema singo mama wanaolewa ila kuna nyuzi nyingi tu mnasema singo mama hawawezikuolewa.
Wanajiongelesha tu na wao ndio wa kwanza kuwakataa single mother.
1. Ana mtoto
2. Ana kovu la C-section, hata mwanaume akimvua siku moja tu anajua ana mtoto. Hata kama haishi na huyo mtoto lakini mwanaume anawaza daily atakuwa anaona hilo kovu na kukumbuka mtoto aliyesababisha hilo sio wake.
3. Ana miaka 32, jioni hii.

Kama ni probability hapo hata 0.2 haifiki. Alafu kitu watu hawaelewi ni attraction, mwanaume mwenye attraction hana tatizo lolote, ana nguvu, uchumi mzuri na akili sawasawa na mwenye maono haoi penye makandokando. Huyo anayejivika kwenye makosa mengi kuna kitu hayuko sawa, na hapo ni discourage kwa mwanamke mwenye hadhi ya wastani au ya juu kijamii. Mwishowe wanafanya compromise, wenye makandokando wanabebana kuvumiliana.
 
Huyo dada anatakiwa kujifunza kuachilia vitu
Amebeba mavitu mengi moyoni hadi anakuwa na hasira na future yake....anatakiwa akusamehe kutoka moyoni na ajikabidhi kwa Mungu atampa mwanamme wa maisha yake...miaka 33 sio kigezo cha yeye kutoolewa Kuna walioolewa wakubwa zaidi yake....Asamehe na amuombee mwanae yasimkute mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…