WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Kwani kuna kosa gani hapo? Kuto kuolewa kwa huyo mwanamke hakuhusiani na kuzalishwa. Ni matabia yake tu ya hovyo,asitafute mchawi.mbona kuna wadada kibao tu walizaa na waliolewa vizuri tu.
Yupo smart sana tuu.
Sio muhuni.
 
Dini hairuusu.
Ndoa ni moja tuu.
 
Huyu dada hajamuacha ex wake katika nafsi hata akiwa peke yake fikra zake ni ex, hawezi kupata mwnaume km bado anaishi kwenye kivuli cha ex
Sikuwa nae kwenye relationship.
Ni one night stand tuu.
Kana umesoma vizuri.

Siamini kama ananipenda maana kuna siku alinitishia mwizi nikasalimika.
 
Nipo katika Situation hiyo ila Uzuri wangu/Ubaya wangu sijaoa hata mmoja wao.

Heri awe mmoja sasa,wako mtu 3 na wote ni wife material yani ukinigawa moyo wangu una upendo kwa wote wa tatu.

Wakati mwingine nawaza nikae single mpka wote nihakikishe wameolewa maana ki ukweli staki ingia mwenye ndoa halafu nianze kumbushia na X wangu. eti kwa huruma.

Nimekaa hapa sielewagi wakati mwingine najisemea mimi sito OA nitakaa hv hv na yeyote kati yao ataetaka NDOA nakataa ataeshindwa vumilia aolewe, Kauli yangu kwao ni 1.

"Kama Nakuchelewesha tafuta atakae kuwahisha"

naisema hiyo kauli wanaiona kama utani ila moyoni naitamka kwa kumaanisha yani natamani hata niamke nikute mtu kanitext kaniambia "Nimeamua ku move on na mahusiano mengine"

Natamani kweli ila wote wamegoma yani kama hawaoni yani Hawajaliiiii...

Mziki ni kwangu sasa,Huku home naambiwa OA weweeeee OA unri huooo sasa namuoa naniiii?

Wangejua nipo kati kati nimetaitishwa hata wasingesema kitu.

Ki ufupi hamna kitu nailaani kama Long Distance katika mahusiano maana hii wote wameisababisha.

Ndugu zangu mkiona Sioi sio kwamba sion wadada wapya ila ndio hivyo nasubiri Msamaha wa baraza la mawaziri nione wataamua nini.

watakaoamua ku move on watakua wameniokoa kweli...
 
Sikuwa nae kwenye relationship.
Ni one night stand tuu.
Kana umesoma vizuri.

Siamini kama ananipenda maana kuna siku alinitishia mwizi nikasalimika.
Unasema mlianza kwenye urafiki manake mwenzio hapo alishaanza kutengeneza hisia za kukupenda wewe ilikuwa one night ila tayari alishakupenda,, mkasex yakatokea yaliyotokea na ukamuoa mwanamke mwingine wanawake wengi hawawezi kuhimili hiyo kitu ndo hivyo kuishia kuwa kama mzimu tu, kakubebelea hasira za kufeli kwake anazishusha kwako,
 
Kaka hivi vitu vinaumiz sana,
Watu wanachukulia poa.
 
Kasome tena vizuri.
Nenda kasome tena.
Narudia : nenda kasome tena.
 
Miaka 32 Nani amuoe??. Wanaolewa wa miaka 50 iwe huyu wa 32 msichana kabisa.
 
Nashukuru sijawahi mharibia mwanamke ahadi yoyote ya kweli.
 
Niunganishe nae nimuongezee mtoto wa pili....ila sielewi kwa nini wanawake wanapenda kutupa lawama kwa Mwanaume...hvi Adam alivyorubuniwa na Eva kula tunda alitupa lawama kwa Eva???Au ndio karma ya kijinsia?malipo ni apa apa duniani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…