Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #61
Hao ni otimbi na timbilioView attachment 3270690Basi kama hamtaki vitenge hivi je?
Hao wa mapazia ni Simiyu hiyo sasa๐๐Nachekaga sana nikiona couple za hivyo, kuna wengine walishona kitambaa cha mapazia nilichoka aiseee..!! ๐น๐น
Sema huu uchizi wanao sana na walimu ๐คฃ
Ni mtazamo tuMwanamke akishavaa jezi yoyote namuona malaya .
Simiyu ๐น๐น๐นHao wa mapazia ni Simiyu hiyo sasa๐๐
Unakuta mnadani kuna mashati na gauni za mapazia zinauzwa!
Kweli tena hawajali wanatuona wengine km hatujui mahaba ๐น๐น๐นKitambaa cha mapazia? Uduguu hii hapana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
๐น๐นUkiona sare nyingi ujue mshika remote ni mtoa utamu
Mwenye kukanusha aje hapa nimtajie na location, tuukate mzizi wa fitina.Simiyu ๐น๐น๐น
Unatafuta ugomvi na kina Ngosha..!!
Mnatusingizia. Waulizwe Wasukuma wa Town na Wachagga.Waulize wanyakyusa, ndio zao hizo