WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Jasho au Kikwapa Kuna Njia ya asili ya kuondoa..Nishawahi kusikia kuhusu kuongea au kutosha na maji ya sufuria lililolowekwa ukoko wa ugali (baada ya kupikia) yanasaidia kuondoa harufu Kali ya Kikwapa/jasho..
Kuna rafiki yangu mmoja ashawahi kuniambia tatizo lake alitibu kwa njia hiyo..
Japo nasikia Kuna Njia nyingine pia za kumaliza tatizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…