WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Umewaza vizuri, kwakweli sijui kwanini mnatamaa hivi🫢
Mwanadamu hususani mwanaume au Kiumbe chochote Cha kiume kimeumbwa na tamaa..

Ndiyo maana dume Moja majike kama yote..

Ndiyo ulimwengu ulivyo, na kiuhalisia sisi ni Polygamist/watu wa kuona wake Wengi..
Hawa wazungu ndiyo wametuletea huu ushenzi wa ndoa ya mke mmoja (Monogamy) ..

Eti ndoa ya wake Wengi ni dhambi, ili malaana ya ushoga na usagaji fresh tu,..
Kumbe lengo lao tusizaliane ili jamii isipate wasomi, nguvu kazi, wagunduzi n.k kwa tamaa yao ya rasirimali zetu za kutosha katika Africa yetu..
 
duhh hatari!
 
Duh aiseee! Leo sikuwa na mpango wa kucomment huu uzi….

Kutokutakwa na mwanaume kama wewe ni baraka kubwa sana!
Ni sawa inaweza kuwa Baraka kubwa sana nakubaliana nawe..

Kwasababu watu tuna machaguo tofauti tofauti na sio dhambi bibie..

Kweli maisha sio sex pekee lakini ndiyo kitu Cha msingi Zaidi Cha kwanza kuwaunganisha Mwanamke na mwanaume kwenye mahusiano ya kimapenzi Kisha vingine vinafuata..
Ili Sex iwe tamu na ipendeze inabidi muendane/matching..
Sio mtu anapenda Romance mwingine hapendi, ni yeye chomeka tu ukojoe...
Hopefully tupo Pamoja, Tuendelee Kujifukiza..🤝🏿🤝🏿🤝🏿
 
Umeandika upuuzi mwingi sana mdau
Stay in your lane mdau..Upuuzi wangu Kuna watu wamelike, Kuna watu wamepita kama hamna kitu...Maoni tu usijae povu..

Dunia ina hewa ya kutosha sana Kila mmoja kuvuta, Cha msingi mdau kama unaona 6 wengine wanaona 9..
Baki kwenye njia yako mdau, Upuuzi wangu niachie mwenyewe na wanauona unafaa.

Tuendelee kulijenga Taifa Mpuuzi mwenzangu ,🤝🏿🤝🏿🤝🏿..
BTW nasubiria nawe uandike Upuuzi ni comment,..Usisahau kunitag 😀😂
 
Nimekuelewa..
Wengi sana hujikuta ni wasagaji..
Na Moja Kati ya Factor kubwa ya mapenzi ya jinsia Moja, kwamfano mtu mwenye Swagger kupenda sana Kijihusisha na michezo/Career ambayo nature yake ni ya kiume na ya kutumia nguvu kama Soccer ⚽, Basketball, Kunyanyua vyuma (Weightlifting), n.k hujikuta wengi ni wasagaji kwasababu Psychologically na naturally ni ya kiume kwa hiyo anajikuta anakuwa na mahusiano na wanawake wenzake..
Sio wote ila kwa asilimia kubwa (Wengi ni mashahidi hata kama hawajitangazi hadharani lakini tunajua wanamichezo wengi wa michezo hiyo ni Wasagaji)

Vivyo hivyo hata kwa wanaume wanaojihusidha na masuala ya mitindo/Modelling na wabunifu wa mitindo nao hujikuta wengi ni mashoga kwasababu mambo ya mitindo naturally ni ya wanawake kwa asilimia kubwa..

Sio wote, lakini kwa asilimia kubwa chinguza vizuri kwa wakati wako utakuja nipa majibu..
nimekuelewa vizuri bravo
 
hizo ni wishful thinking tu, hawataki malaya at the same time hawataki usumbufu,unawaelewa kweli?
Mimi ukiwa msumbufu as long as tupo kwenye Close R/ship ya Mimi na wewe tu, hakuna mtu mwingine ni sawa..

Lakini nikaona na kujidhihirishia kwamba wewe sio mwaminifu kwenye mahusiano yetu mambo ya usumbufu yasiwepo na Kila Mtu apite njia yake..
 
Hao ndio wanaofundishaga wanawake mavitu ya ajabu, na hao ndio wa kwanza kuwahukumu wanawake kwa tabia hizo! Mwanamke unampenda unaanzaje kumpitishia vidole kwenye nanii ya takataka!!!
Bro sijasema lazima iwe hivyo hujanielewa..

Kwenye sex hata Mimi mwenyewe sio kwamba ni Mwalimu wa Walimu..ni mwanafunzi tu wa Baby Class..
Kuna vitu unavipenda na wengine hawavipendi ..
Ukikutana na unayematch naye basi ni Blessing sana..
Wewe unashangaa mtu kufanya anal fingering pekee kama foreplay, je anayepitisha Dhakari kwenye Mpalange kabisa??

Wakati nakua nilikuwa nawashangaa sana watu wa dizaini hiyo, lakini kuishi kwingi nimejifunza kwamba niishi kwenye mstari wangu..
Vya kuvifanya nivifanye, na nilivyojiwekea kutovifanya hata ushawishi uweje SIFANYI..

Kwasababu nikiendelea kuwashangaa hawa wanaofanya hivi, sio wa kwanza na ulimwengu haujaanza Leo..

NASHAURI INAPOBIDI, NA IKIWEZEKANA NINAPOOMBWA..

Haya ni maoni tu mdau..
Tupige kazi kujenga Taifa 🤝🏿🤝🏿🤝🏿
 
Ok sawa.
 
Hao ndio wanaofundishaga wanawake mavitu ya ajabu, na hao ndio wa kwanza kuwahukumu wanawake kwa tabia hizo! Mwanamke unampenda unaanzaje kumpitishia vidole kwenye nanii ya takataka!!!
Kwahiyo Relax mdau..
Sometimes inatakiwa ujue mpenzio anapenda Nini, lasivyo kama ni vitu anavyovipenda na alikuwa anafanya before hajakutana na wewe àtatafuta nje..

Japo haya mambo pia hayanaga ufundi unaweza Fanya vyote na bado akatoka nje..

Tupige kazi kujenga Taifa 🤝🏿 🤝🏿 🤝🏿
 
aaaaahaa !
-nikimtongoza msichana akakubali siku iyo iyo,
-kuwa bize na simuwakati tunaongea/ kuwa na wasiwasi simu ikiwa mbali au nikiishika
-tupo wawili lakini anaongea kwa sauti kama yupo kwenye debate
-kucheka cheka hovyo bila sababu

vinanikata stim kabisaaa🙈
sasa kama na yeye amekuelewa asikubali?
 
Mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke anakuja kuolewa na innocent boy 😭
Ndo mwanzo wa kuonekana hujui mapenzi, huna nguvu za kiume n.k kumbe n girl mwnyw amezoea mikikimikiki

Ah kudadeki, Sir God naomba uniepushe na hiki kikombe 🙏
Brother kwenye sex hakunaga huruma..
Ila kama una huruma pia sawa..Maana nisiwe mshauri sana..
Cha msingi kwenye sex tumia ufundi wote ulionao..
Mikikimikiki ndiyo wengine wanapenda..
Wengine wanapenda Slow..

Inategemeana na nyie wenyewe mnayopenda..
Lakini iwe kama ni Close Relationship., isitokee hapo Kila mmoja anatoka na mwingine nje ya mahusiano Yenu halafu akakutana na mikikimikiki halafu wewe unajifanya Mzee wa Slow, Huruma, kujifanya Innocent kwa sana n.k 😂😀..

Anyway tujenge Taifa wadau 🤝🏿🤝🏿🤝🏿🤝🏿
 
Mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke anakuja kuolewa na innocent boy 😭
Ndo mwanzo wa kuonekana hujui mapenzi, huna nguvu za kiume n.k kumbe n girl mwnyw amezoea mikikimikiki

Ah kudadeki, Sir God naomba uniepushe na hiki kikombe 🙏
Yes ni kuomba tu upate muaminifu na msimu basiiii..
Lakini kwa ushauri, kwenye Sex piga kazi mdau..U-innocent wako acha kando..

Tupige kazi 🤝🏿🤝🏿🤝🏿
 
Ndio kinachotokea, mwanamke ukikuta yupo namna flani, ujue amewahi kutana na mtu akamfundisha namna hiyo.
UMEMALIZA KILA KITU..
Na ndiyo maana katika ishu ya mahusiano kabla ya ndoa naona ni muhimu sana mpate kufahamiana vema..
Mtu utamjua tabia zake (kwa % kubwa japo inawezekana isiwe zote , Japo kubadilika pia kipo)

Kwamfano Mimi binafsi nikisikia tu Mwanamke yule ni Bata (najua mshaelewa) Binafsi siwezi kuwa naye kwenye mahusiano maana Mimi sio mdau wa kula Bata hata kidogo..
Kwamba niwe naye kwenye mahusiano atabadilika, wakati najua tu kubadilika hapo duuuh, labda Ziwa Victoria lihamie Dodoma..

Mapungufu kwa mwanadamu hayakosekani, hakuna mkamilifu, lakini yapo yanayovumilika unasema Yes haya nitayavumilia..
 
Back
Top Bottom