WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Miaka flani nilikutana na mwanamke mzuri sio kidogo, ilikuwa ni sehemu nimeenda kupata msosi, yeye kakaa meza ya mbele peke yake, anasubiri oda yake, nikajikaza kiume, nikamfuata.

Oda yake ikaja, yangu ikafuata, tukaendela kupiga stori huku tunakula. Basi ijabu ikafuata, amemaliza kula, amekuja mhudumu kumnawisha, si akamwambia anahitaji "Ashtray". 😊

Kumbe demu anavuta sigara, akatoa pakti la sigara embassy akawasha. Nikasema kimoyomoyo enhee, hii mpya. 😁

Sitaki kusema nini kilifuata, ila mood yangu ilikata pale pale wazee. 😊
Bro umeniongezea nyingine aisee..nilitaka kusahau..

Mimi Mwanamke anayevuta aisee ni Big No..
Iwe sigara au Bangi, sijui Shisha ni bonge la Turn-off...
Pombe akiwa anakunywa Safi tu, No problem hata kidogo, ila asiwe komba sasa kulewa kujitapikia, kujinyea, Kujikojolea, kulewa mpaka kutojitambua hapana kwa kweli..
 
mimi ugumu naousemea sio wa kuingilika ni ule wa kimwonekano, kama anataka kila kitu awe like a man, ila unakuta mdada ana base ila she sounds kiuanawake ama anatembea kwa kudunda ila ana sauti ya kike

me nasemea zaidi hao wanaojiona washkaji wenzetu
Nimekuelewa..
Wengi sana hujikuta ni wasagaji..
Na Moja Kati ya Factor kubwa ya mapenzi ya jinsia Moja, kwamfano mtu mwenye Swagger kupenda sana Kijihusisha na michezo/Career ambayo nature yake ni ya kiume na ya kutumia nguvu kama Soccer ⚽, Basketball, Kunyanyua vyuma (Weightlifting), n.k hujikuta wengi ni wasagaji kwasababu Psychologically na naturally ni ya kiume kwa hiyo anajikuta anakuwa na mahusiano na wanawake wenzake..
Sio wote ila kwa asilimia kubwa (Wengi ni mashahidi hata kama hawajitangazi hadharani lakini tunajua wanamichezo wengi wa michezo hiyo ni Wasagaji)

Vivyo hivyo hata kwa wanaume wanaojihusidha na masuala ya mitindo/Modelling na wabunifu wa mitindo nao hujikuta wengi ni mashoga kwasababu mambo ya mitindo naturally ni ya wanawake kwa asilimia kubwa..

Sio wote, lakini kwa asilimia kubwa chunguza vizuri kwa wakati wako utakuja nipa majibu..
 
Vile ukiguswa navyo unakaa rada, mwanetu haelewi kabisa😆
Hajajua uhondo wa vinyweleo na matumizi yake vinavyoamsha Nyege za aliyenavyo..

Anyway Kila mmoja na machaguo yake..
Wengine wanapenda Mwanamke awe na choo kikubwa, wengine wanapenda Portable, Mimi wote tu awe na Kalio kama kistuli, au model twende tu, chamsingi asiwe na Yale niliyoyaongelea awali na pia asiwe mvutaji wa chochote basi...
 
Na unamkuta boy huyo huyo nae ana mapungufu kbao kuzidi hata huyo girl.
Inawezekana mm najiona niko fresh kumbe kuna girl ananiona nanuka mdomo knoma 😂
Kunuka kinywa/Mdomo sio mtu Mmoja tu ndiyo anakusikia pekee, watu wote wanasikia hiyo harufu twatofautiana Namna ya kuvumilia tu hiyo harufu kwa mhusika..
 
Mm ndo mana najionaga bado mshamba sana wa sex, h ishu sijawah kukutana nayo na mademu niliopita nao n wa kawaida mno, hakuna wa kishua hata mmoja.
Kweli inawezekana wanajua kujisafisha na pia hawana maambukizi... Hongera kwa kufaidi, maana harufu inakata stimu sana..
Maana harufu nyingine ni ishu ya magonjwa..
Mtu akipata matibabu Sahihi inaisha..

Kama ilivyo harufu ya kinywa/Mdomo, Jasho/Kikwapa mtu akipata matibabu Sahihi Tatizo linapona Kabisa..
 
Aseeh nakumbuka kuna muda nilikua nikiona tu chupi ya rangi ya pinki imeanikwa nilikuwa nashikwa ashki ashki badae nikahamia kwenye mstari wa pichu ile tu nikiona dent kavaa imechora tu kwasasa naona ulikua utoto tu
 
Wanaume Tunavumilia mengi , unakuta mtu ananuka chiu alf kakomaa anataka doggy style kafungulia exhaust yote puani kwako 🤮🤮 mbaya zaidi hakojoi mapema acha niishie hapo ndugu mjumbe
Sema kiuhalisia kabla ya sex wote inabidi mjisafishe kwanza..Sio watu mmeznguka 10 Km Juani, jasho kama lote halafu ufike ndani utegemee harufu isiwepo..

Amaana hata Mimi mwenyewe mwanaume hapo pumbu lazima Ziwe na harufu ya kutosha..
Sehemu nzuri, private mnaoga/kuogeshana kwanza mnaweza shtua kimoja bafuni kuondoa wenge na lile BAO la kiherere ikibidi..

Mkishaosha miili Yenu Sasa ndiyo mje muoneshe ufundi wa kutosha, mpeane vyote kama vyote ✍🏿 ✍🏿 ✍🏿 ✍🏿
 
Kama tumetofautiana hivi najiuliza sasa kwanini tunagongeana/tunashea?
Ukigonga usimsimulie mwenzako utamu ulioupata..

Mfano Mimi ukiniambie kwamba demu yule mwanangu ana vinyweleo kama vyote, tayari nishamtamani kwasababu ana Vitu vyangu kabisa..
Ukiniambia tu kwamba demu KILIMO CHA UMWAGILIAJI (Squirters/Wamwaga Maji/Ukanda wa MVUA Nyingi/Interlacustrine Region 😂)kinapatikana tayari ushanivutia maana ana vitu vyangu kabisa ninavyovihusudu..
Ukiniambia demu yule anaifinyia kwa Ndani, ananyumbulika, yupo huru sana kwenye Sex na yupo Romantic tayari ushanipa shauku ya kuonja.. Hususani kama tabia yake inaonesha anaweza kusambaza upendo kwa Mabaharia..

Na kingine Kuna baadhi ya wadau watumiaji wa 0713/0652 ukiwaambia tu kwamba demu wako anatoa tayari usharuhusu kinyang'anyiro na mchuano ili nao wathibitishe kama kweli..

Kwahiyo kwa ushauri, USISIMULIE..UTAMU BAKI NAO...✍🏿✍🏿🤝🏿🤝🏿
 
Back
Top Bottom