WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

I second you. Nywele za kwapa aa
 
Kunifundisha majukumu yangu.. (Naelewa nachofanya)

Kauli... (Kuna kauli fulani ukiongea tu najua ni redflag hii)

Uvivu wa kijinga.. (Kuna mmoja alikuja geto.. kalala asubuh nimeamk wa kwanza namuandalia chai yeye kalala tu hata ashtuki.. nimemtengea kitandani.. akala.. vyombo kaniachia)

Kutanguliza pesa mbele.. (Mwanamke mkimya ambae haombi ombi hela huwa anakula hela zangu sana , kuliko mjuaji/ombaomba)
 
Wapo wagumu kuingilika, ila sio mpaka kutembea na kuongea kiume!
mimi ugumu naousemea sio wa kuingilika ni ule wa kimwonekano, kama anataka kila kitu awe like a man, ila unakuta mdada ana base ila she sounds kiuanawake ama anatembea kwa kudunda ila ana sauti ya kike

me nasemea zaidi hao wanaojiona washkaji wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…