Hivi itokee watu waanze kupima DNA kwa kila wanandoa wenye watoto, utaona mapanga yatakavyo tembea kuna wanaume wengi wanalea watoto si waosawa ila elimu kubwa itolewe kwa wanawake wasitoe mimba wasije kuishia ugumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli hilo sikatai siri ya mtungi aijuae kata.Hivi itokee watu waanze kupima DNA kwa kila wanandoa wenye watoto, utaona mapanga yatakavyo tembea kuna wanaume wengi wanalea watoto si wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmejaribu daw za kisukuma?!jamani kwa zile dawa mie nili🙌🙌! Unachemsha unanywea kwa uji
Wanawake bwana!!! Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake
My wife wakati anaangaika ku conceive alikuwa anapata vijembe sana kutoka kwa wanawake flani flani lakini niliendelea kumtia moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sweet hebu tupe direction zinapatikanaje? Ili uokoe jahazi
Asante kwa ushauri ila dawa za chango nimeshatumia sana.Jaribu mitishamba ya wapare dada, wengine imewasaidia, yaweza kuwa chango
Shukrani ndugu.
Mmejaribu daw za kisukuma?!jamani kwa zile dawa mie nili🙌🙌! Unachemsha unanywea kwa uji
Eti kizazi cha leo, ungeijua biblia nazani ungenyamaza kimya, tatizo la wanawake kukosa watoto lilianza toke dunia ilipoumbwa, kina Sara mke wa ibrahimu alitoa mimba? Hana alitoa mimba? Rahel alitoa mimba? na kuna yule mke wa daudi nimemsahau jina nae alitoa mimba? na kuna wanawake wengine wengi tu kipindi cha agano la kale waliokosa watoto, au unaongea tu kwa kuwa utoto unakusumbua?Hakuna unyanyapaa, wasichana wa kizazi cha Leo haswa wasomi kuwa nao makini wengi unakuta alishatoa mimba na wamemharibu kizazi,
Daah hapana aisee siwezi kufanya hii kazi mimiIndia ilikatazwa baada ya mashoga wa kimarekani kuimisuse. Wanaruhusu wahindi wenzao tu. Kwa kenya wapo wengi na Sauzi.
Hapa TZ haipo rasmi kivile ila ipo. Unapanga na mdada (awe keshazaa wakwake angalau mmoja, unampeleka India anabebeshwa na kama pesa inaruhusu anakaa hapo hospitali kwa miezi 7 ili wasaidie ku monitor kiumbe tumboni maana huwezi kurisk upate Mlemavu au mwenye utindio.
Baada ya hapo unamrejesha hapa nchini (kumbuka akijifungulia huko kasheshe yake ni kali mpaka upate kibali kabla mtoto hajazaliwa kuwa serikali ya JMT itamtambua kuwa ni Raia wake).
Unaishi naye hadi anaenda kujifungua kwa Operation tu. Huko huko akitoka thyeta hata mtoto hamuoni unampa chake anaishia.
Mamito sikiliza wimbo huu na urudie comment yako
Sina mb za YouTube mieMamito sikiliza wimbo huu na urudie comment yako
Kuna wimbo unasemaDaah hapana aisee siwezi kufanya hii kazi mimi
Pole mkuu ni wimbo wa mtoto si nguo! Infact ukiwa naye huoni umuhimu saaaana ila ukikosa, tema mate chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujanielewa, namaanisha siwezi kupandikizwa, nifanyiwe operation niondoke mtoto nimwachie mwingineKuna wimbo unasema
Mh!Wanaume wenye matatizo ya low sperm count/ no sperm at all. Na nyie mlitoa nini? Au punyeto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hiyo ndilo angalizo nililotoa. Ni ngumu sana na ndo maana wakati wakimtoa mtoto wewe unapita kulia na mtoto kushoto. Hata humuoni. Surrogate wetu hadi leo akimwangalia mtoto roho inamuuma kiasi akaanza kumchukia. Alijisemea kuwa kama yai lingekuwa lake asingekubali. Pamoja na kumpa 30M kama gratuityMkuu hujanielewa, namaanisha siwezi kupandikizwa, nifanyiwe operation niondoke mtoto nimwachie mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
My dear, mbona hutumi hiyo namba huku miye nimeshasema unda picha walivyonikalia kooni fanya chaap utume eeennh.
My dear, mbona hutumi hiyo namba huku miye nimeshasema unda picha walivyonikalia kooni fanya chaap utume eeennh.