Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Pole dada yangu.
 
Poleni sana wanawake ambao hamjajaliwa kupata watoto....Uzazi umekua shida sana.

Kuna wakati niliambiwa na wataalamu tatizo la ugumba kwa wanaume na wanawake pia unaongezeka kila siku.
 
Huyo kama ndio mke wangu na kapata mimba baada ya kuhangaika hivyo...asee atapata special treatment ya hali ya juu, nita msikiliza kwa chochote kwa hiyo miezi tisa!!
 
Pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tatizo la Mabinti kushindwa kushika mimba au mimba kuharibika linazidi kukua katika jamii yetu.

Nakumbuka dada mmoja hapa kwetu alikua na tatizo hili. Lakini kuna bibi mmoja Mpwapwa Dodoma alimsaidia kwa mitishamba ndani ya miezi 4 akapata mimba na kuzaa mtoto mwenye afya kabisa.

Msikate tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nina mfano hai kabisa mda ukifika utapata wala usihofu na mungu anasababu zake kwann kakunyima kwa sasa , ipo cku wala usihofu kama umeandikiwa kupata utapata tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila omba Mungu yasikukute
Mitihani ipona huwa na sababu, nazo ni :
1. Kupimwa kama una imani na kusubiri, hii ni kwa mujibu wetu sisi watu wa dini.

2. Mitihani kutokana na chumo la yale tulyo yatenda.

Lakini hii itakuwa shida kwa watu ambao hawaamini kama kuna maisha baada ya haya ya duniani. Walio kumbwa na mitihani hiyo wanatakiwa wajue ya kuwa maisha maisha haishii kwenye kukosa watoto au kupata watoto. Hili ndio wanatakiwa waliweke akilini.

Nimemaliza.
 
Pole sana Thad , we believe that he's so faithful that he can't forsake us. Hata kama hujapangiwa kuwa nae(tuamini tu kuwa yeye ndio hupanga), basi shukuru na ishi maisha yako kwa furaha.
 
Wanakosea Sana, usiwamind
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…