T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Mimi nishatumia njia zote za uzazi za mahospitali na nimeanza tokea na miaka 18 hukooo na Nina watoto zaidi ya 2 , natumia vijiti nawekaga vya miaka mitatu mitatu nikitoa tu haipiti mwezi mimba .na hapo sijakuhesabia mimba nilizopunch za ujana
AminaMm nina mfano hai kabisa mda ukifika utapata wala usihofu na mungu anasababu zake kwann kakunyima kwa sasa , ipo cku wala usihofu kama umeandikiwa kupata utapata tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.
Pole Sana shida ya Jf Kuna vijana ambao bado wanahitaji muda wa kukua zaidi wajue changamoto za kidunia wakikua wataacha wasamehe bure tu.Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
That's mai sistaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mpenziNi mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Mambo mengine huwezi kuelewa mpaka yakukute mwenyeweSikutegemea swali dhaifu kama hili ulize wewe ambaye una imani angalau kiasi
Yupo kweli, na usiangalie nani anafanyai nini na nani afanyiwi, Mungu ni mwema kwa wema na wabaya ndo mana mvua hunyesha kwa kila mtu haichagui kwa mwema ndo inyeshe alafu kwa mwenye dhambi pawe pakame, hata jua ni la wote, ni kwa Neema tu
HakikaMtihani mkubwa tunaopitia ila tuzid kuwa na subra ipo siku mungu atatufuta machozi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app