Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

Ni njema sana. Wengi wako hivyo.

Kuishi na ke hakufundishwi ila kizazi hiki kinapaswa kikae darasani kabisa.

Kuna wanaume wanaonesha hisia za kuumia mioyo wakiwa na wenza wao, wengine hulia kabisa.
Sijui huwa wanawaza nini.
 
Njema sana.kweli kbs.pesa ni by the way.
 
Saaas nimeelewa kwanini wahuni wanamiliki pisi kali msela akimwelewa demu anamdaka mkono afu utawala unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…