Ahaaahaaaahaa[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]What goes around ... comes around endelea kujiona mjanja kutesa ndoa ya watu kisa umeahidiqa kuolewa but siku zaja ambazo utasaga meno
Malaya wewe
What goes around ... comes around endelea kujiona mjanja kutesa ndoa ya watu kisa umeahidiqa kuolewa but siku zaja ambazo utasaga meno
Malaya wewe
Jamaa kapigwa na mkewe na mkewe akapigwa na jamaa akapelekwa polisiYaan jamaa yako kapigwa na mkewe au kapingwa?
Jamaa kapigwa na mkewe na mkewe akapigwa na jamaa akapelekwa polisi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Basi ukisikia hivo wanagombana unaviimba mwenyewe wajiona mtamu balaa πππMbona hapishi Sasa kutwa kugombana na mume kisa mtu aliye km 1200 toka alipo?jamaa kapenda Tena,moyo hauna limit ya kupenda.
Kwahiyo utahamia Dar? Au utaolewa huko huko mkoaniKampiga mkewe sababu alienda sehemu akajazwa maneno kuhusu Mimi,akarudi n mihasira home kwake ,akaanza fanya vurugu na kumtukana mumewe,mume akakasirika akampiga na kumwumiza vibaya.Wakati yote yanatokea mimi Niko mkoa mwingine mbali na dsm.
Ghafla nimemkumbuka Esma platnumz na Msizwa....πOoh
Nimekuelewa hakikisha anakuoa tu maana bila ndoa hutotambulika
Uko Manyara?Nitue bwana wikend hii,karibu nyama choma hapa mnadani.
Saaana...siku hizi naipenda jf sanaHizi siku humu pamebamba lo
Mnada sikuhizi uko nchi nzima,
Eti mtamuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Basi ukisikia hivo wanagombana unaviimba mwenyewe wajiona mtamu balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda yeye hana huo moyo wa kupisha.
Ok ok Darling[emoji39][emoji39]Mnada sikuhizi uko nchi nzima,
We Witty location ya nini tena, muache bi mdogo ainjoi ππ
Ghafla nimemkumbuka Esma platnumz na Msizwa....[emoji16]
Sijawah mvimbia Wala hata kumpigia simu,yeye ndo huwa anapiga nakunitisha,hajaambiwa ataachwa lakini.Basi ukisikia hivo wanagombana unaviimba mwenyewe wajiona mtamu balaa πππ
Labda yeye hana huo moyo wa kupisha.
Mkoani,dar nimemwachia bi mkubwa.Kwahiyo utahamia Dar? Au utaolewa huko huko mkoani
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Word!Katika vitu ambavyo sifanyi na katu sitafanya ni kumzungumzia mke wangu katika vitu visivyomhusu au kumkandia. Natambua ana madhaifu mengi lakini katu sithubutu kumsema vibaya kwa mtu yeyote. Namheshimu kwa kuwa ni mama ya watoto wangu hivyo mengine naacha yapite.
Mke wangu na watoto they untouchable. Ukiwagusa tu tunakosana na inaweza kuwa mwisho wa ukaribu wetu iwe mwanaume au mwanamke.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Haya... TumesikiaWanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mme wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe.
99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point tunatumia(nikiwepo mimi) but unakuwa sio ukweli ni tamaa tu na papuchi yako so tunatafuta namna gani utatuelewa basi tunaona njia hiyo itakufanya unionee huruma na unipe mzigo kama unanisaidia vile.
- Hana raha na ndoa
- Hana amani
- Mke anamnyima unyumba
- Mke mkorofi
- Mke anaongea sana
- Mke kachepuka na mengine mengi
But mara nyingi unakuta sababu hizo ni za uongo ni mara chache sana kukuta ni kweli.
Hivyo unapoamua kutembea na mme wa mtu hata akwambie nini juu ya mkewe we kipokee sikio hili kipitie linalofata mpe mzigo kama umemwelewa na mchune kwa nafasi yako but mweshimu yule mke wake maana ndo aliyemuona wa maana na akamuoa.
Mbunge (mchumba wa mtu) Huu upuuzi umenishangaza sana. Hivi unakuwaje mchumba wa mme au mke wa mtu? Takaka haijatoka mahakamani huyo ni mme wa mtu.
Hata wakigombana na kutengana miaka 20 wewe unapoenda kudate nae jua yule ni mme wa mtu so unaiba usiweke mahusiano yako hadharani mpaka pale talaka itakapotoka.
Bunge limenishangaza sana wanamchangia Catherine akamzike mchumba wake[emoji23][emoji23][emoji23] halafu mchumba ambaye ni mme wa mtu(talaka haijatoka) hata kama wametengana huo ni uzinzi na upuuzi hupaswi kutangaza.
Jifunzeni kwa mwenzenu tafadhali.
Yani haumvimbii yeye, ila unavimba ukiwa ndani kwako bi mdogo huku wanukia udi.... moyoni wajichekeaSijawah mvimbia Wala hata kumpigia simu,yeye ndo huwa anapiga nakunitisha,hajaambiwa ataachwa lakini.