Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Ukiombwa hela ni nia mbaya, we ukiomba utamu sio nia mbaya? Acha hizo buana mambo ni kupeana...
 
Daah hongera kwa yaliyo kutokea,si wengine tunaishia kuyaota.
 
Haujatafiti vizuri hadi mwisho mkuu.

'Vizinga' saazingine huwa ni fimbo ya kufukuzia wakware.

Unapigwa orodha ndefu kuliko hiyo uliyoorodhesha hapo, tena baada ya kutongozana tu, kuna kurudi kweli?

Hapo nani anakuwa kafaidika, nadhani ni suluhu yaani bila bila.

Ndiyo hivyo, siyo kila kizinga ni shida ya kweli, yaweza kuwa ni njia mujarabu ya kufukuzana na kukataana 'kikubwa'.

Hayo mengine ya kuombana pesa kwa kumaanisha ndiyo kama ulivyosema.
 
Kula pesa bana, shida iko wapi?[emoji1787]
 
Hii hali imezidi hasa kwa jiji la Dar huwezi enjoy mapenzi kama mikoani maana wadada kila wakilala wakiamka wanawaza hela tu ukimsimamisha tu anakuuliza unafanya kazi gani ili apime uwezo wako na kuanza kukupiga virungu, hata kama maisha ni magumu mmezidi jamani, yaani mwanaume kama una mambo mengi yanayohitaji pesa nyingi bora kuwakwepa tu hawa watu mpaka utavyokuwa sawa maana watakutesa sana.
 
Sasa hivyo ndo vizuri, anakusaidia tyuuh, akija kueleza shida yake una cancel. Case kwisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa hili ni janga kubwa kipindi hiki nadhan na wadada nao wamejua labda wanaume tunataka ngono sanaaa sikuiz so nao wanaona wasijetoa utamu afu wakaachwa hivihiv so wanaona nao wafaidike kidogo mapemzi yamekuwa kama mchezo wa kuviziana hivi.
Na ndo ukweli wenyewe.
 
Mwanaume mwenye pesa hana maneno wala lawama, yeye ana deal na miamala tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mommy bhana, ukauliza kabisa yaan.
 
Unataka utelezi buree kwani huyo ni mama yako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…