Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 495
- 1,436
Dream😀Aiseee Kuna manz sikuwahig kuonana nae for the first time ilikuwa chatng tu za simu Kama miez sita hv Zaid ya kuona picha zake Mara ya kwanza kaomba 50k nikamtumia ikawa destur nikawa namtumia mazaga kila kitu.
Siku niliyokutana nae alikuwa Yuko good saana beautiful flan tukapata dinner moja matata Sana nikaenda mchekecha maini na Figo swafi.
Siku nisio itarajia yule manz aksema leo nakufanyia surprise nikawait Aiseeee nashangaaa muamala 1.5m imeingia bimdada alikuwa serious na mm Ila mm mambo yalikuwa meng