Mwanamke ukijidai eti huombi pesa ili uonekane wife material itakucost, labda kwa mwanaume anaejielewa, kwa upande wangu Sina jadi kabisa ya kumuomba pesa mmwanaume hata Kama Nina shida Hadi makalioni,
But ilishanitokea Nilikuwa na mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote ,simuombi pesa Wala Nini, lakini hakua anajiongeza ata nauli, ila ukienda mtenbelea anataka ufanye kazi zite za mke ,kufua ,usafi ,kupika,nk, lakini hajiongezi ata sumni.nilikuwa naona kawaida coz nilikuwa nampenda, kumbe mwenzangu ananichukulia Kama sex partiner na mm namchukulia Kama husband to be, imagine.
Saanyingine unawaza Ni Bora kuexchange goods