dr shayo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 555
- 980
Mbona wanawake wa huku mnatokwa povu hivyo? Kiujumla mimi nikishaanza kukutongoza ukileta habari za hela na block namba haijalishi ni pisi kali namna gani. Mimi kwangu utakula mistari kama hujaelewa basi, unaniomba hela kwani mimi baba yako ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume wa siku izi mnapenda kitonga, toka zamani mwanamke ni wa kupewa! Msipo ombwa hamtoi ndo kujidai kusifia nina mwanamke wa tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unangoja umuite hata nauli humpi, mara mmekula uanze kumkopa eti umalizie bill, kodi hujalipa lakini unataka umlale mwanamke nyumbani kwake alikopanga, pesa hujampa Ila utataka umtembelee akupikie, [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] kipindi iko nadate na mpenzi jamani ela unapewa adi unanunua kiwanja bila kuomba omba wanaume walikuwa wanayajua majukumu yao vizuri........ila wanaume wengi mnaolalamika kuombwa ela nahisi pesa zenu za mawazo sana! Kuna wanaume bado wanajua kutoa pesa
Sent using Jamii Forums mobile app