Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee. Halafu Hana aibu[emoji28][emoji28]
Kwenye mapenzi usiingize siasa; wewe tafuta mwanamke wa levo yako ambaye unaweza lipia huduma yake ya uchi, ukikinai unahamia jwa mwingine. Kwa nini uhangaike kumgeuza malaya awe mke anayefaa? Ukifika wakati wako wa kuoa utatafuta mwanamke mwenye sifa ya kuwa mke unaoa mambo yanasonga mbele.Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.
Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda unafahamiana nae baada ya siku tatu unaorodheshewa matatizo gesi imeisha, simu imepasuka kioo, mama amekimbizwa hospital, luku imekata sasa hivi, nimepungukiwa kodi yani yote hayo unakuta anapewa boyfriend au mwanaume ambaye hata bado hajatamka nakupenda.
Kwa kweli ni janga wanaume wanaogopa wanawake, hawajui yupi ni wa kuoa vijana wanashindwa kupata wife materials kisa mizinga. Wamebaki kutoa hela ili wapate huduma ya ngono na wakitosheka wanakimbia mizinga wanahamishia kwa wanawake wengine kutafuta utamu mwisho wa siku kina dada wanalalamika siku hizi hakuna waoaji.
Mkuu hao wasioomba pesa wote huwa hawaachwi??Ukiwa ombaomba mwanaume anakuchukulia poa. Hela utapewa si una njaa ila utapigwa utaachwa sababu thamani yako ipo kwenye pesa sio wewe.
AiseeNi hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.
Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda unafahamiana nae baada ya siku tatu unaorodheshewa matatizo gesi imeisha, simu imepasuka kioo, mama amekimbizwa hospital, luku imekata sasa hivi, nimepungukiwa kodi yani yote hayo unakuta anapewa boyfriend au mwanaume ambaye hata bado hajatamka nakupenda.
Kwa kweli ni janga wanaume wanaogopa wanawake, hawajui yupi ni wa kuoa vijana wanashindwa kupata wife materials kisa mizinga. Wamebaki kutoa hela ili wapate huduma ya ngono na wakitosheka wanakimbia mizinga wanahamishia kwa wanawake wengine kutafuta utamu mwisho wa siku kina dada wanalalamika siku hizi hakuna waoaji.
NaaamKama hautaki kuombwa pesa basi usiwatongoze mkuu ,wewe ubaki na pesa zako na yeye abaki na utelezi wake hapo itakuwa ngoma droo.
Wanaume wenye njaa nao mmekuwa wengi mnoo...unakuta mwanaume amekamilika anasema alimpa demu efu20 sjui 15 ya matumizi kheeee afu anajisifu amehudumiaaaa😂😂😂😂😂Kuna wanawake wapo wastaarabu sana hata anapokuomba pesa unaelewa huyu anahitaji tena wa hivyo hata hausubiri aombe ila utu twenye njaa ndio unakapa hela vinagongwa vinaachwa.
Huyo Domo zege...kula pesa yake Hadi atakapopata akili...si ametuma kwa ridhaa yake mwenyewe bila kuombwa?Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa
Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza
Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa
Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza
Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Wanawafundisha mpaka Kakazao, unakuta dume nzima na afya yake imetulia baa inaomba inunuliwe bia.
Aiseee Kuna manz sikuwahig kuonana nae for the first time ilikuwa chatng tu za simu Kama miez sita hv Zaid ya kuona picha zake Mara ya kwanza kaomba 50k nikamtumia ikawa destur nikawa namtumia mazaga kila kitu.Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.
Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda unafahamiana nae baada ya siku tatu unaorodheshewa matatizo gesi imeisha, simu imepasuka kioo, mama amekimbizwa hospital, luku imekata sasa hivi, nimepungukiwa kodi yani yote hayo unakuta anapewa boyfriend au mwanaume ambaye hata bado hajatamka nakupenda.
Kwa kweli ni janga wanaume wanaogopa wanawake, hawajui yupi ni wa kuoa vijana wanashindwa kupata wife materials kisa mizinga. Wamebaki kutoa hela ili wapate huduma ya ngono na wakitosheka wanakimbia mizinga wanahamishia kwa wanawake wengine kutafuta utamu mwisho wa siku kina dada wanalalamika siku hizi hakuna waoaji.
Haombwi wala hapewi shukuraniHuyo Domo zege...kula pesa yake Hadi atakapopata akili...si ametuma kwa ridhaa yake mwenyewe bila kuombwa?
Hapo ndipo kwenye changamoto, na ukiwaambia wanauza wananuna tena[emoji1745][emoji1745]Mbaya zaidi wasipopewa wananuna..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Rudia kusoma vizuri nilichoandika
Hakuna nilipoandika pesa zinanikera