Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wapinzani hao wanatuchelewesha!Hawa ndio wanaume waliobaki....
Hii nchi imechezewa sana 😁
😂😂😂😂😂Tena wapinzani hao wanatuchelewesha!
Ndio ukweli wa mambo. Mke atakubali umpet pet pale ambapo anajua mihela ipo. Huna kitu utasikia ebu wacha kupumua kwa nguvu bwana unanikera🤣🤣🤣🤣🤣🤣hahahaha
Mjukuu Wangu tatizo unataka U.M.A.L.A Y.A na hela huna!Nilitaka nikujibu vibaya ila nimefahamu kitu kimoja kuwa nitakuonea.
Wewe ni mshamba wa wanawake, sema haujijui kama mshamba wa wanawake. Okay endelea kuwamwagia mipesa mzee.
Ndio ukweli wa mambo. Mke atakubali umpet pet pale ambapo anajua mihela ipo. Huna kitu utasikia ebu wacha kupumua kwa nguvu bwana unanikera🤣🤣🤣🤣🤣🤣hahahaha
Wanajua kabisa kwamba tunawapiga na kuwaacha ndo Mana unatakiwa utoe hell kijanaUkiwa ombaomba mwanaume anakuchukulia poa. Hela utapewa si una njaa ila utapigwa utaachwa sababu thamani yako ipo kwenye pesa sio wewe.
Mmmm mwanaume kama huyo hayupo nchi hii atume pesa tu??Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa
Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza
Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
[emoji23][emoji1][emoji1]Mjukuu Wangu tatizo unataka U.M.A.L.A Y.A na hela huna!
Oa tulia na mke wa hali yako... Mengine subiri utobboe kimaisha
Nikwel nilikuwa na piga story na mzungu mmoja nika mwambi Nina ma girlfriend wa tatu, aka nishangaa kwel,, akasema kwao kuwa na madem Zaid ya mmoja ni ngum wanawake wakwao wana akili Sana tofaut na wanawake waki Africa, wanawake wa aki Africa unaweza kuwa nao wengi kwasababu wana uwezo mdogo kichwani.Shida wengi ndio mumejiwekea hio standard kwamba usipopewa hela hupendwi au mwanaume asiye na hela ni mmbabaishaji! Basi mnawakataa wasio na hela za kuhonga bila kujua kuwa upendo sio pesa tu ila ni moyo tu! Mtu kukuthamini sio lazma akupe kupe pesa tena watoa hela ndio matapeli no.1 sababu kwa njia hii anaweza kuwapanga hata mademu 16 kwa wakati mmoja...poor ladies mna kazi!
Nyie mnasema wanaachwa lakini kila leo ndoa zinafungwa asa wanaoolewa ni wa wapiUkiwa ombaomba mwanaume anakuchukulia poa. Hela utapewa si una njaa ila utapigwa utaachwa sababu thamani yako ipo kwenye pesa sio wewe.
Hahahah ameshangaa unawezaje kumiliki mademu wa 3 kwa wakati mmoja 😅😅😅 maana mzungu wazo la kumpanga tu linahitaji akili ya ziada! Nafikiri sababu wanajitosheleza kiuchumi...Huku mahusiano ni backup plan ya kudhibiti njaa 😅😅😅Nikwel nilikuwa na piga story na mzungu mmoja nika mwambi Nina ma girlfriend wa tatu, aka nishangaa kwel,, akasema kwao kuwa na madem Zaid ya mmoja ni ngum wanawake wakwao wana akili Sana tofaut na wanawake waki Africa, wanawake wa aki Africa unaweza kuwa nao wengi kwasababu wana uwezo mdogo kichwani.
[emoji23][emoji23]Apo pagumuTukianza kuomba pesa kwa wanawake wenzetu msilalamike
wakuu kati ya tabia mbaya na ya kifedhuri ni hii ya kuomba omba hela,kumbka nimesema kuombaomba hela sio kuomba hela.natoka mafiga saiv nkitulia nita reply vizuri
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa
Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza
Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!