Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Haka karembo wa hapa kazini nimekatoa out for breakfast kamashiba nakaambia turudi kazini kananiomba nauli ya jioni.
Duuhh.
 
Mimi niliambiwa mpaka kafiwa na mama ake lakini kwenye mazishi nikaambiwa nisiende kudadadeki
Kudadeki
FB_IMG_16236909488103414.jpg
 
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa

Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza

Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Aaaaaaah huyo ni kichaaa
 
kilio cha taifa
Akikuomba hela mwambie njoo na kadi ya uanachama ya CHADEMA atakuwa Hana Hyo siku nawe ukiomba umgegede atajichanganya tu atajua una ya CHADEMA ya CCM hauna atakwambia njoo na kadi ya CCM kumbe zote mbili unazo unaenda mgegeda freeeeeesh kabisa bureeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda siyo wanaume wa leo, usipoomba Nate anauchuna Kama si yeye
 
Waf
Wanaume wa siku izi mnapenda kitonga, toka zamani mwanamke ni wa kupewa! Msipo ombwa hamtoi ndo kujidai kusifia nina mwanamke wa tofautišŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ unangoja umuite hata nauli humpi, mara mmekula uanze kumkopa eti umalizie bill, kodi hujalipa lakini unataka umlale mwanamke nyumbani kwake alikopanga, pesa hujampa Ila utataka umtembelee akupikie, šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜ kipindi iko nadate na mpenzi jamani ela unapewa adi unanunua kiwanja bila kuomba omba wanaume walikuwa wanayajua majukumu yao vizuri........ila wanaume wengi mnaolalamika kuombwa ela nahisi pesa zenu za mawazo sana! Kuna wanaume bado wanajua kutoa pesa
Wafuate hao hao,umepanic as if umeambiwa ww tu
 
Mwanamke ukijidai eti huombi pesa ili uonekane wife material itakucost, labda kwa mwanaume anaejielewa, kwa upande wangu Sina jadi kabisa ya kumuomba pesa mmwanaume hata Kama Nina shida Hadi makalioni,

But ilishanitokea Nilikuwa na mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote ,simuombi pesa Wala Nini, lakini hakua anajiongeza ata nauli, ila ukienda mtenbelea anataka ufanye kazi zite za mke ,kufua ,usafi ,kupika,nk, lakini hajiongezi ata sumni.nilikuwa naona kawaida coz nilikuwa nampenda, kumbe mwenzangu ananichukulia Kama sex partiner na mm namchukulia Kama husband to be, imagine.

Saanyingine unawaza Ni Bora kuexchange goods
Si unaona sasa! Wao wanataka kazi zote za mke ufanye ila kutoa pesa wanaona kama wanaonewa!
 
We mpare em tulia majukumu kwani mimi mzazi wako. Kabla ya mimi nani alikua anabeba haya majukumu? Hivi ni kujilemaza kiakili, kimwili na kifikra.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani kabla ya kuwa na mwanamke nani huwa anakupikia na anakufulia? Kwanini ukiwa na mwanamke unataka akufanyie hayo yote?
 
Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa

Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza

Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!

Na nyie wanaume baadhi muache tabia ya kufikiri kila mtu unampata ukimpa pesa

Kuna mmoja hajatongoza
Yeye asubuhi anatuma pesa ya breakfast,mchana atatuma ya lunch na usiku anatuma ya dinner...nafikiri hapo ndio anaona anatongoza

Kimsingi hakuna asiyependa pesa lakini inakera,husemi kitu wewe unatuma pesa tu!
Chambo kwenye ndoano
 
Labda siyo wanaume was leo,usipoomba Nate anauchuna Kama si yeye
Kama mwanamke haujui wajibu wako na we siwezi kukupa pesa bila mpangilio mana wengi matapeli hamna msimamo siku hizi mtu nimetoa gharama zangu kukupendezesha unaanza nipa masharti sijui mapenzi mpaka ndoa
 
Back
Top Bottom