Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Upo kama mm..haijawah tokea wala kuwaza kbs .mie nawachukulia km scrapers tu
🀣🀣 Eti kuna binadamu hawaamini Kuna wanawake hawajawai kuliwa na ex wao.they see t z impossible.......while mi ninaona ni kinyaa kitakatifu n disrespecting my self.
 
Wengi wapo lakin achana na penzi la zamani tena kama hamkuachana kwa visa, kulikumbushia huwa linanoga sana.


Hahahhaa mm haijawah kuachana bila kisa...!na mara nyingu mm ndo naacha so siwez kbs kumrudia..Ht km aniache yy siwez mrudia ...kwa kipi haswa
 
🀣🀣 Eti kuna binadamu hawaamini Kuna wanawake hawajawai kuliwa na ex wao.they see t z impossible.......while mi ninaona ni kinyaa kitakatifu n disrespecting my self.

Mimi.bahat mbaya huwa sikutan na mtu level ya ex..huwa nakutana na level ya juu..so naonaga km nawangalizia kwenye balcony ya 5th floor vile ...haka ka ex kangu kamejenga kajumba ka vyumba 2 chalinze..naskia nyumba km shule ya msingiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..Mungu nisamehe...alafu namrudiaje ss mm km huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...pyeee...!mwingine alipigwa na risasi bas kuutwa kuomba michango atibiwe..Mungu nisamehe
 
Jamani shouger pole kwa kudate na local chicken
 

Unafaa kuwa mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…