Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Mwanaume anaanzisha Uzi kuwa havutiwi na wanaume wafupi daah πŸ˜„πŸ˜„
Dunia inaelekea wapi?
Uanaume unaelekea wapi?
Tatizo lilianzia kwenye ufadhili wa USAID kwenye nchi zetu za afrika hususani TZ vijana wameleft group wameanza kuvutiwa na wanaume warefuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunakushukuru sana TRUMP mwakalobo Kwa kulifuta Hilo shirika
 
shida huwa inakuwa hapa, mtu anakuwa mrefu balaa, au ana limwili likubwa, lakini kichwani empty, hana elimu, hana pesa, anaishia kuwa mlinzi au kibarua kutumikishwa. nadhani hiyo ndio inauma zaidi. tafuteni pesa, mwanadamu yeyote ni mwanadamu mzuri tu. although ni kweli, wafupi wana shida ya inferiority complex inayowafanya wawe kero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…