Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Kwahyo kiongozi unapenda wanaume warefu
IMG_20250208_145107.jpg
 
Mwanaume anaanzisha Uzi kuwa havutiwi na wanaume wafupi daah 😄😄
Dunia inaelekea wapi?
Uanaume unaelekea wapi?
Tatizo lilianzia kwenye ufadhili wa USAID kwenye nchi zetu za afrika hususani TZ vijana wameleft group wameanza kuvutiwa na wanaume warefu😂😂😂😂 tunakushukuru sana TRUMP mwakalobo Kwa kulifuta Hilo shirika
 
shida huwa inakuwa hapa, mtu anakuwa mrefu balaa, au ana limwili likubwa, lakini kichwani empty, hana elimu, hana pesa, anaishia kuwa mlinzi au kibarua kutumikishwa. nadhani hiyo ndio inauma zaidi. tafuteni pesa, mwanadamu yeyote ni mwanadamu mzuri tu. although ni kweli, wafupi wana shida ya inferiority complex inayowafanya wawe kero.
 
Back
Top Bottom