Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Cc HarmonizeAisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana