Wanawake mnafanya jogging na marathon mnatutega

kuwa na mafuta kupita kiasi ni utapiamlo, hata kama huna kitambi.
Kuwa na makalio makubwa ni maumbile haihusiani na matatizo ya mafuta.

Kua na kitambi ndio mafuta! Ukitaka kuamini mchukue mtu ambae hana asili ya makalio makubwa mlishe vyakula vya mafuta kama atapata mpododo zaidi ya kuongezeka kitambi tu.
 
Na mm napenda wanaume wa jogging jaman sipendi mwanaume aende jogging kavaa sijui mtarck la Yanga sijui mguo gani, yaana napenda avae pensi inayochora naniliu vzr yaan naweza kimbia bila kuchoka wala kuona njaa jaman, wanaume wote wa jogging mnaovaa pensi na tights nawasalimu kwa jina la kataa ndoa
 
Mbona kokobichi wapo wanaokimbia na majuba mkuu
 
Jinsia yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…