Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Mambo ya nipe nikupe,unanunuaa ukichoka unaondoka unaacha wengine waendelee kununua,wewe unahamia mahali pengine
 
Sasa una uhakika gani kama mnakua mnapata wote raha, ukute kitu enyewe ndo ile mtu ukipiga chafya inatoka, au huna maajabu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wooooi
Maajabu yapo tu wewe mwenyewe unajikuta hadi unaanza kunena kwa lugha [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] sasa vipi yasiwepo maajabu
 
Mi nilikutana na mdada tena mtumishi Idara nyeti akaniomba pesa ya kusuka, nilipomwambia mbona una kazi unashindwaje kusuka akanijibu kutumia pesa yake kusuka inauma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa umeongea pointi sana. Ke wote wangekuwa na uelewa kama wewe, dunia ingekuwa mahali bora na salama sana.

Tatizo liko kwenye wale wenye kukomoa.
 
Kuna maswali hata haipasi mwanaume kuyauliza yaani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Tunawapenda kupitiliza ndio maana tunaomba.
 
Mpaka umemuona kapendeza ni pesa imeungua, kama unajiongeza utaombwa pesa saangapi, usione vya pendeza vimegharamikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…