Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea.

Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia, ndipo timbwili timbwili linapoanza.

Sasa mimi najiuliza, kama unauza si bora useme? Ili tujue tunanunua huduma. Na je, hisia zenu zipo kwenye pesa tu?

Mambo ya nipe nikupe,unanunuaa ukichoka unaondoka unaacha wengine waendelee kununua,wewe unahamia mahali pengine
 
Sasa una uhakika gani kama mnakua mnapata wote raha, ukute kitu enyewe ndo ile mtu ukipiga chafya inatoka, au huna maajabu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wooooi
Maajabu yapo tu wewe mwenyewe unajikuta hadi unaanza kunena kwa lugha [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] sasa vipi yasiwepo maajabu
 
Mi nilikutana na mdada tena mtumishi Idara nyeti akaniomba pesa ya kusuka, nilipomwambia mbona una kazi unashindwaje kusuka akanijibu kutumia pesa yake kusuka inauma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake asilimia 90% ni wauzaji
IMG_20220209_193935.jpg
 
Ila jamani wanaume mnaolalamika kwenye huu Uzi unaombwa hela hebu tunawaomba mkue wakubwa Sasa,yaani mkomae kiakili.Hakuna mapenzi bila kuhudumiana yaani hili Jambo Ni nature kabisa.Mwanamme unapomhudumia mpenzi wako inakuongezea Ujasiri na mamlaka na heshima kwa Yule unaemiliki.Hivi mwanaume unajisikiaje unachukua tu mwanamke unafanya Mambo yako then unamwambia tutawasiliana?Haya,anaogea sabuni gani baada ya hapo?anapaka nini ili aendelee kukuvutia,akija ananuka kikwapa unakuja kumtangaza hapa,kazi yenu kusema waoooh umependeza Sana, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]mmmh shauri yenu.Mpe mpenzi wako huduma kwa kadri ya uwezo wako,na usisubiri mpaka akuombe itakukera tu....kikubwa mpunguze makoloni mbona inawezekana tu ,Na mpunguze story za vijiweni wenzenu wanajifanya hawatoi kumbe ndio watoaji wakuu Nina mashaka Sana na Extrovert [emoji1787][emoji1787]
Hapa umeongea pointi sana. Ke wote wangekuwa na uelewa kama wewe, dunia ingekuwa mahali bora na salama sana.

Tatizo liko kwenye wale wenye kukomoa.
 
Kuna maswali hata haipasi mwanaume kuyauliza yaani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Tunawapenda kupitiliza ndio maana tunaomba.
 
Back
Top Bottom