Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Si mnaangaliaga matako[emoji28][emoji28]ndo hayo sasa
😅😅😅😅😅😅 jana kuna clip nimeona nimecheka sana!
Demu anapika huyo balaa anasema...”Mume wangu kokote ulipo njoo tu ila mie sina tako ila kwa kula nakuhakikishia utaota mpaka kitambi yani njaa haiwezi kukusumbua kamwe” 😅😅😅😅😅
 

[emoji3][emoji3][emoji3]ndio ndo kina sisi haiwezekani hatuna mpododo na kupika tusijue weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…