Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Nilisema humu "Siku hizi unapotaka kuingia kwenye mahusiano na demu hakikisha una mtaji" watu wakaja Juu....

Haya sasa naona leo kila mtu kwa nafasi yake anaelewa nilimaanisha nini.....

Mapenzi bila pesa labda ufilipino,, Na kama huna hela au una hela za Mawazo baki nazo tu...acha watoaji wajilie papuchi
 
Back
Top Bottom