Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimechekaaa mpaka mate,

Haina noma mwamba, salamu kwa Shem, muambie Mr. Kipwipwi nitakuja kwa ajili ya zile chapati zake za ufuta..!!
Ile kibingwa kabisa baharia wangu, zimefika, mtoto anapika chapati tamu, kama anakuwa mtupu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pamoja sana broh
 
Nyie wanaume hapatani na nyie kabisa na anawaogopa mtamtisha na midevu yenu[emoji23] ye anapenda kukutana na sisi wanawake wenzie ndio roho yake inaridhika Dr mkareeeee kipenzi uwongo Dr. Mariposa
Nimekupenda bure my dear Shunie, asipoelewa na hapo basi tena tumuachie Mungu tu [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…