Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Shega kabisa mwanangu, mama la mama nitamtoka kiaina. Kama vipi alfajiri nipandie hewani, wanaume kusapotiana hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]
Haina noma mkali wangu, ndiyo maana nakukubaligi kinoma, hunaga za kidemu..!!
Nyie jamani mbona kama mnawapatia [emoji38][emoji23]
 
Ni huzuni kwa kweli, mtu anajipinda kushusha mistari pm anaona haitoshi anakuja na hadharani kumbe dume lenzie linamchora tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] Halafu akija hadharani sasa majibu anayopewa sasa ya kumkata maini ila wanaume wa jf wana moyo wa pekee mtu humjui hujui anafananaje unaanza kushusha mistari mpaka kuweka na thread
 
Back
Top Bottom