Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Sio kwa kupangana Sasa kutokea jf Maana Nina sababu nyingi naweza kukutana na watu wote lkn sio wanaotoka hapa jf never

Kunakuwa hakuna haja ya mimi kutumia I'd fake kama nitakutana na watu wa humu
Kutumia ID fake sio JF tu hata FB, IG, Dating sites zote ila ni maamuzi yako tu sababu unaweza kutumia uhalisia wako vile vile, ila suala la kuonana linaweza kutokea kama mkiwa na sababu hiyo labda biashara au connection flan
 
Back
Top Bottom