Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Kutumia ID fake sio JF tu hata FB, IG, Dating sites zote ila ni maamuzi yako tu sababu unaweza kutumia uhalisia wako vile vile, ila suala la kuonana linaweza kutokea kama mkiwa na sababu hiyo labda biashara au connection flan
Kiusalama hapana kila siku nacharurana na wakina mwigulu na makamba humu halafu nikutane na mtu wa humu mh!!! Siwezi

Ayo nitafanya instagram, telegram, whatsapp etc but sio hapa weeee😄😄😄😄🏃
 
Kiusalama hapana kila siku nacharurana na wakina mwigulu na makamba humu halafu nikutane na mtu wa humu mh!!! Siwezi

Ayo nitafanya instagram, telegram, whatsapp etc but sio hapa weeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji125]
Hapo sasa nimekuelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema acha uoga Tanzania Nchi ya Amani.
 
Back
Top Bottom