Hiyo cha mtoto, kimbembe kosa hela alafu una mke na watoto....unakuwa na hasira tuu. Yaani ata mkeo akiwa anapita mbele na khanga moja anatimgisha tako wee unadhani anakukashifu.Sitanii asije kuwa ana vidonda vya tumbo...
Kuna baadhi ya magonjwa yanafanya mtu anakua na hasira sana.
Kitu si kitu una mind tu.
Just cool young lady,,,,kiongozi anaonesha mamlaka kwa nyumba na familia yake... Ha trust me huyo anaweza kukulinda kwa gharama yoyote,,,sema tu hiyo Ni mapungufu y ndani yatapungua au kuisha baada ya miaka kadhaa,,,amini nikwambiacho bidadaHuko kwenye kumpea hafoki, kwanza sijawahi kumnyima toka anioe....ye mwenyewe anakiri hilo.
Ila hebu fikiria labda namtengea chakula, bahati mbaya wakati naweka glass mezani nikosee hesabu glass ijigonge, jamani atafokaaa, Yani atanifokea Kama mtoto.
Ndio haina kanuni hiyo ya kuelekezana tu,,,,,Kuna mmoja kuelekezwa na kufuata na mwingine kutekeleza wajibu... Na Hali ya maisha inatia hasiraKama ulikuwepo, Yani hiyo akifoka ningekuwa mtu wa kujibu jibu angemalizia na vibao.....Ila huwa nanyamaza, ntaomba msamaha, Ila Moyoni inaniumiza....Mimi ni mtu mzima ni suala la kuelekezana tu.
Si tutafika mbinguni tumechoka sana? ππItabidi ujifunze ndondi, ndoa za sasaiv zataka kujipanga kwa mbinu zoteπ uwe mkimya, mwenye busara hekima, mchapakazi, mwanasaikolojia, mjasiriamali, mwana mieleka, mwenye kidomo,, kahaba kitandani, mlezi na mzazi,, kazi tuko nayo walahi
Tuliza akili kiongozi,,,inaonekana hunauhakika na ulichoandika for sureAchana na hiyo ndoa, kwa nini? Mimi ni mwanaume, sikiliza:
1. Mwanamke akigombezwa hawezi kuwa na mapenzi ya hiyari.
2. Mwanaume anaweza asielewe na akikosa mapenzi ugomvi pale pale.
3. Usipokuwa na mapenzi naye atawaza unabated mtu nje ya ndoa - ugomvi Unaendelea.
4. Ataanza toka nje ya ndoa kwa sababu anaitaji mapenzi!
Achana naye! Hiyo cycle huishia kwenye mauaji
Ni anakupenda Sana huyoNishajiliza, nishanuna....Ila haachi, Hadi sasa nimeamua nijifanye mjinga, nijishushe!
Ila inaniumiza jamani, naumia....kuna wakati nawaza au mapenzi yameisha! Watu wengine anaongea nao vizuri Mimi ananifokea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji373][emoji374]Mi nimeoa mwehu mmoja hivi, huwa ananijaribu ili afe...
Nakiangaliii nakiacha tu.
Uraiani patamu
Mtu akikufokea anakua anakupenda? Seriously??? Hawezi kukupenda bila kukufokea fokea? This sounds like someone he's sadist!Ni anakupenda Sana huyo
Mwanaume bila kukoroma ndani ya nyumba utaishia kutombewa mke wako hadi kitanda mnacholalaMtu akikufokea anakua anakupenda? Seriously??? Hawezi kukupenda bila kukufokea fokea? This sounds like someone he's sadist!
Ndio kila saa? Hamjawahi kufokewa sawasawa nyie ndio maana mnaongea ongea, look, ukiishi na mtu anayekufokea fokea matokeo yake atakunyima confidence kabisa, utajiona kila kitu huwezi ama unakosea, if this is something ya'll want. (Kuwanyima wenzenu confidence)Mwanaume bila kukoroma ndani ya nyumba utaishia kutombewa mke wako hadi kitanda mnacholala
Huko kwenye kumpea hafoki, kwanza sijawahi kumnyima toka anioe....ye mwenyewe anakiri hilo.
Ila hebu fikiria labda namtengea chakula, bahati mbaya wakati naweka glass mezani nikosee hesabu glass ijigonge, jamani atafokaaa, Yani atanifokea Kama mtoto.
Tozo.
Stress hizo. We huwaoni hata humu wanavyofoka foka
Ametoa ushauri wa hovyo sana wengine wakiambiwa vitu kama hivyo wanafata baadae zogo linakua juu...Ataona namdharau ndo atanibutua kabisa.
Duuh huyo kiboko sema inaonekana pia hampo pamoja katika swala la maombi yenu yaani pana muda mkae mjadili vifungu vya bible au quran kutokana na imani mliyonayo ili kupunguza Uputini ndani ya nyumba..Muombee pia na iombee familia maana Dunia ina mambo mengi hasa kwa wana ndoa..Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Tuliza akili kiongozi,,,inaonekana hunauhakika na ulichoandika for sure
πππππ Unapigwa TKO na mieleka kama mko WWE. Aisee ni kuomba sana mwenyezi MUNGU akupe mpole kama mimi. Sifokagi wala kupiga. Au basi.Kwa shuhuda hizi za hivi karibuni
Unaweza shangaa nakutana na Mandonga mtu kazi,ni mwendo wa ngumi tu humo ndani π
Wasikudanganye. Kuwa mpole na kimya kwenye hizo ocassion. Yuko hivyo tangu mmeona au kaanza siku hizi? Tuanzie hapoElimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Kwamba amefokea familia?ππππMpeleke polisi
Ndugu wajumbe ninadhani tuufunge huo. Hii ni comment bora zaidi kwa mazingira haya uzi huu.asikutese kiasi hicho mpe altimatum na kama habadiliki chukua maamuzi ya kutengana. ikibidi mtengane vyumba au uhame kabisa mtengane kwa muda fulani mpeane nafasi akiona ana kuhitaji basi akubali sharti la kubadilika, la habadiliki achana nae huyo atakupa stress tu.
inaonekana hajiamini ndio mana anafoka, kwa nini umfokee mtu mzima ambaye hakatai maelekezo ukimuelekeza? kama mtu ni jeuri ni sawa akifokewa ila kama wewe sio jeuri basi anakuonea.
siku nyengine mrekodi kwa siri asijue halafu baadae utoke nae nje ya mji huko akiwa ametulia msikilizishe upuuzi wake halafu muulize kama ni yeye ndio anafanyiwa hivyo angejisikiaje?