Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwanza nikupongeze kwa hatua zote ulizo fanya kama kaka au na familia ya kumnusuru huyo dada Yako Iko hivi hiki kizazi Cha saiv kimeharibika chote si swala la jinsi kingine kwenye mambo ya ndoa Kuna mengi na vita ni vingi sana si akili zako tu ndo zinaweza kukuokoa mnaweza kuwa wote mpo vizuri lakini ki akili na kimadili lakini bana kwenye ndoa huwa lazima Kuna vipindi vigumu sana na mkiweza kuvuka salama ndio huwa mtihani Kuna watu unawaona saiv wapo pamoja na huoni kasoro zao saiv lakini wakikuambia alichopitia unaweza kukuta hicho alichopitia dada Yako ni kidogo inamaan wangechukua washuri kama wako kipindi kile saiv ndoa isingekuwepoWakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.
Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.
Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.
Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.
Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...
Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.
Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.
Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.
Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.
Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!
Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.
Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?
Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.
Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.
Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.
Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.
Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.
Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.
Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.
Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake
Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.
Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.
Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.
Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.
Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.
Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.
Shukrani.
Pamoja na hayo kuna msela anamkula dada yako na anahongwa tuWakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Mkuu Heshima kwako,Mkuu kwanza nikupongeze kwa hatua zote ulizo fanya kama kaka au na familia ya kumnusuru huyo dada Yako Iko hivi hiki kizazi Cha saiv kimeharibika chote si swala la jinsi kingine kwenye mambo ya ndoa Kuna mengi na vita ni vingi sana si akili zako tu ndo zinaweza kukuokoa mnaweza kuwa wote mpo vizuri lakini ki akili na kimadili lakini bana kwenye ndoa huwa lazima Kuna vipindi vigumu sana na mkiweza kuvuka salama ndio huwa mtihani Kuna watu unawaona saiv wapo pamoja na huoni kasoro zao saiv lakini wakikuambia alichopitia unaweza kukuta hicho alichopitia dada Yako ni kidogo inamaan wangechukua washuri kama wako kipindi kile saiv ndoa isingekuwepo
Kingine mm sipendi watu wanavyopima mafanikio baada ya kuachana kwenye ndoa kwa kuangalia upande wa uchumi tu hapana uchumi ni sehemu lakini isiwe kigezo tu pekee Cha kujivunia eti baada ya kuachana nae saiv ipo hivi wazazi wetu wengine hawakuwa na uchumi mkumbwa sana lakini tumekua saiv tumeona faida kubwa za ndoa zao na kudumu kwao pamoja kutulea kwa pamoja ni kitu ambacho najivunia sana
Mpaka Leo naamini kwamba mtoto Bora ale ugali dagaa wiki nzima ila yupo kwako kwa baba na mama...
Mamzi naye alikuwa pot?wanaume tunapitia mengi Sana story yoyote inayo husu mapenz regardless sijui sabb ni nn Nita side kwa mwanaume mwenzangu no matter what iwe kwa my own sis or mother Nita side kwa mwanaume mwenzangu
Kuna Rafik angu mmoja tulikua platoon moja maisha yalikua Mazur hom kwake na shemej alikuwa vizur heshima na Adabu manzi ya kaskazini uko bac mwamba aka deploy front
one day mwamba akafanya makosa ya kinizamu akapigwa chini kupisha uchunguzi
kuludi home changanya stress za kazi mke akaanza dharau baada ya kulisha family kama miezi miwili
mambo yakawa mengi kerere kibaooo
vikawekwa vikao apo vya usuruhishi ikafika hatua mwanamke hapiki wala kufanya shughuli yoyote bad enough jamaa akaanza kunyimwa yerusalemu mwamba akazidi kudata
Kwenye vikao manzi akaongeza chumvi na uongo kibwena oooh jamaa akibaki home pekeake anabaka mbuzi na kuku walizofuga
bac bhana kaka zake na uyo manzi wakaja kumchukua uyo manzi
jamaa kufanya uchunguzi wa ki spy akajua wife ake alikuwa analiwa na boss wake na mapenz yamekolea
. _________
Mwanamke akilisha Familia mwezi mmoja tu no matter how much you love each other mwisho wenu upo very close
We unaejielewa umefata nini kwenye comment yangu,kama siyo hopeless mwenzangu?Hujielewi kabisa wewe
Kwa hayo maamuzi Yako hakikisha unabeba majukumu ya shemeji Yako yote usiishie njiani.Mkuu Heshima kwako,
Katika yote, Bwana Shemeji alikuwa anampiga sana, na nimesuluhisha sio mara moja.
Sasa hata uchumi ukiyumba hakuna shida, shida ni kuiba na kupeleka pesa za mwanamke kwa mabaa medi.
Yani umefanya jpili yangu imekua njema sana. Kwa niaba ya wenzangu kina To yeye Tunakushukuru sana. Ungekua jirani nngekununulia biaWakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.
Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.
Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.
Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.
Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...
Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.
Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.
Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.
Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.
Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!
Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.
Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?
Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.
Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.
Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.
Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.
Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.
Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.
Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.
Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake
Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.
Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.
Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.
Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.
Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.
Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.
Shukrani.
chaiWakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Watu wamelisha miaka. Ni hulka ya mtu tu. Muhimu heshima na upendowanaume tunapitia mengi Sana story yoyote inayo husu mapenz regardless sijui sabb ni nn Nita side kwa mwanaume mwenzangu no matter what iwe kwa my own sis or mother Nita side kwa mwanaume mwenzangu
Kuna Rafik angu mmoja tulikua platoon moja maisha yalikua Mazur hom kwake na shemej alikuwa vizur heshima na Adabu manzi ya kaskazini uko bac mwamba aka deploy front
one day mwamba akafanya makosa ya kinizamu akapigwa chini kupisha uchunguzi
kuludi home changanya stress za kazi mke akaanza dharau baada ya kulisha family kama miezi miwili
mambo yakawa mengi kerere kibaooo
vikawekwa vikao apo vya usuruhishi ikafika hatua mwanamke hapiki wala kufanya shughuli yoyote bad enough jamaa akaanza kunyimwa yerusalemu mwamba akazidi kudata
Kwenye vikao manzi akaongeza chumvi na uongo kibwena oooh jamaa akibaki home pekeake anabaka mbuzi na kuku walizofuga
bac bhana kaka zake na uyo manzi wakaja kumchukua uyo manzi
jamaa kufanya uchunguzi wa ki spy akajua wife ake alikuwa analiwa na boss wake na mapenz yamekolea
. _________
Mwanamke akilisha Familia mwezi mmoja tu no matter how much you love each other mwisho wenu upo very close
Soma thread yote mkuu. Hujaona vipigo hapo? Tunazika wanawake wangap wanaouwawa kwa vipigo?Kurudi usiku mkali nayo ni kitu ya kuvunja ndoa?? Si tungekuta ndoa za bibi na babu zetu zimevunjika??
labda kama sio mwanamkeWatu wamelisha miaka. Ni hulka ya mtu tu. Muhimu heshima na upendo
Nimesoma dada, ila kusema ukweli watu wengi wanajiingiza kwenye ndoa kwa sababu ya msukumo kutoka kwenye jamii au familia. Usipokuwa makini unaweza kuangukia kwa mwanaume/mwanamke ambaye atakufanya ujute maisha yako yote. Pole kwa dada wa mtoa mada kama story ni ya kweliSoma thread yote mkuu. Hujaona vipigo hapo? Tunazika wanawake wangap wanaouwawa kwa vipigo?
nopeMamzi naye alikuwa pot?