Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

Unavunja ndoa ya mtu eti kisa mdogo wako huyo mdogo wako mzigo kweli anakubali ndoa yake iingiliwe na mtu mwengine, wewe kazi yako ilikiwa kutoa ushauri tu ila kuchukua maamuIzi yeyote ya vitendo Ni yeye au mumeozesha mwanafunzi.

Halafu inaonesha una-treat huyo mdogo wako kama mtoto asiyekuwa na maamuzi yake mwenyewe hadi leo hii umeonesha uliposema umesikia anataka kuolewa ukaahangaa jambo kwasababu haukuepo akaolewa....As if unamuongelea mtoto wa shule.
 
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.

Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.

Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.

Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.

Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...

Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.

Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.

Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.

Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.

Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!

Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.

Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?

Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.

Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.

Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.

Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.

Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.

Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.

Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.

Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake

Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.

Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.

Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.

Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.

Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.

Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.

Shukrani.
Bado akili yako ni ya kitoto! Wanasema binadamu haishi kwa mkate tu.
 
Pesa haiwezi kumpa mkuyenge.
Huyo dada yenu hamuwezi kumgonga ninyi ni lazima akunjwe na wengine.

Anza kwanza kuwapa ushauri kuhusu hilo, huo ukali wenu hautasaidia atakutana na mwingine yatajirudia tu. Mpeni elimu ya mahusiano la sivyo atakua anawatafutia wanaume wakware tu na yeye kuishia kuzalishwa.
Huyu jamaa hamnazo kweli. Hilo kwa dada yake ni muhimu kuliko pesa. Tunao hata watoto wetu ambao wana kila kitu ila ikifika wakati lazima waondoke maana hiyo kitu ni muhimu kwao
 
Waache waendelee kukaza fuvu wakidhani ukali na ubabe unasaidia kwa dunia ya sasa..
Ndo hao anafika 40's anaanza kutembea na vitoto vya miaka 20 kukata kiu yake kingono.
 
yaani muandika uzi ni arrogant na janamke la hovyo kumliko yeyote...na nahisi atakuwa mchaga wa machame, na ni single maza, au dungayembe ambalo haliwezi katu kuolewa...unajisifia kuvunja ndoa ya dadako?? hiyo ndoa haijavunjika dada maana hakuna sehemu umesema talaka imetolewa na mahakama, wewe unakaa na mke wa mtu, huyo mumewe kuwa mlevi hujauliza ni kwa nini!? wanaume wanapitia mengi kwenye ndoa mpaka kuwa depressed....na hakika hata mimi ningekuwa na mwanamke wa mentality yako hakika tungebadilishana majengo ya serikali
 
Kilichounganishwa na Mungu mwanadamu amekatazwa kukitengenganisha wee jimwambafai kusherehekea kuvunja ndoa ya dada yako na kusababisha mtoto kukosa kutengwa na baba yake ,huyo dada yako siku akifa hao wanae watarudi kwa baba yao na wewe na hao watoto watakulaani maisha yao yote watakuja kujua wewe ndie ulitenganisha ndoa ya Wazazi wao
 
Ushampa Mtaji wa maana na biasharaa ila bado HUJAMTAFUTIA MWANAUME WA MAANA unaeona atakufaa wew na yeye[emoji3][emoji3][emoji3] Maana wanawake wakipata hela wanatakaga wapate mwanaume wa kumshikaa masikioo
 
Kanuni ya ndoa inasema nitakuwa na wewe ktk shida na raha.

Ulipata wapi jeuri ya kuvunja kanuni mama ya ndoa?.
Shida na raha sio ulevi na umalaya na kupigana mwilini mwisho kuuana au ulemavu wa kudumu...
Binafsi kitu pekee naweza vumilia ni mtikisiko wa kiuchumi na mtikisiko wa kiafya..nje ya hapo kila mtu akasumbue familia yake alikozaliwa
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa hatua zote ulizo fanya kama kaka au na familia ya kumnusuru huyo dada Yako Iko hivi hiki kizazi Cha saiv kimeharibika chote si swala la jinsi kingine kwenye mambo ya ndoa Kuna mengi na vita ni vingi sana si akili zako tu ndo zinaweza kukuokoa mnaweza kuwa wote mpo vizuri lakini ki akili na kimadili lakini bana kwenye ndoa huwa lazima Kuna vipindi vigumu sana na mkiweza kuvuka salama ndio huwa mtihani Kuna watu unawaona saiv wapo pamoja na huoni kasoro zao saiv lakini wakikuambia alichopitia unaweza kukuta hicho alichopitia dada Yako ni kidogo inamaan wangechukua washuri kama wako kipindi kile saiv ndoa isingekuwepo
Kingine mm sipendi watu wanavyopima mafanikio baada ya kuachana kwenye ndoa kwa kuangalia upande wa uchumi tu hapana uchumi ni sehemu lakini isiwe kigezo tu pekee Cha kujivunia eti baada ya kuachana nae saiv ipo hivi wazazi wetu wengine hawakuwa na uchumi mkumbwa sana lakini tumekua saiv tumeona faida kubwa za ndoa zao na kudumu kwao pamoja kutulea kwa pamoja ni kitu ambacho najivunia sana
Mpaka Leo naamini kwamba mtoto Bora ale ugali dagaa wiki nzima ila yupo kwako kwa baba na mama...
Umeongea point, changamoto ni nyingi lakini kumpiga mtu is very extreme. Mtu wa hivyo hashindwi kukutia ulemavu wa kudumu au kukuua kabisa... sasa hao watoto unadhani watalelewa vizuri?
Kula ugali na dagaa huku watoto wakiwa na amani na kuona upendo katikati ya wazazi wao wala sio ishu kabisa... kuliko unakula ugali na dagaa huku baba anarudi amelewa ni vipigo na matusi, aisee huo ni ujinga wa kiwango cha lami.
 
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.

Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.

Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.

Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.

Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...

Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.

Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.

Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.

Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.

Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!

Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.

Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?

Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.

Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.

Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.

Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.

Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.

Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.

Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.

Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake

Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.

Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.

Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.

Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.

Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.

Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.

Shukrani.
Hujaambia wakitingwa watumie njia gan kumaliza nyege
 
Mkuu hivi unakumbuka jana tuu uliandika hivi 👇

kwenye huu 👇 uzi?

Ndo ujue watu ni wanafiki... wanapenda shauri wenzao vitu ambavyo wao hawawezi kuvifanya.

Maisha ya mahusiano mkishindwa kutatua matatizo yenu wenyewe basi ni udhaifu mkubwa
 
Back
Top Bottom