Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa vijana wa hovyo nakukumbusha kuambatanisha uzi wako na risiti ya kulipia tangazo tafadhali.
Moyo wa binadamu kichaka. Kuna pretenders. Mtu anakuja kwako na malengo ya kuoa. Full husband material unasema Mungu kajibu after ndoa balaa linaanza. Tusali sanaNimesoma dada, ila kusema ukweli watu wengi wanajiingiza kwenye ndoa kwa sababu ya msukumo kutoka kwenye jamii au familia. Usipokuwa makini unaweza kuangukia kwa mwanaume/mwanamke ambaye atakufanya ujute maisha yako yote. Pole kwa dada wa mtoa mada kama story ni ya kweli
Nyie nae wazembe kweli mngeenda kumfata dada yenu na huyo mlevi mkampa makofi ya kutosha na hata polisi mnapeleka kaiba kadiBhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo
Sana,lakini tutafika tuwanawake wanapitia mengi.
Mh,utakufa vibaya we mwanaume uliyezaliwa na mwanamke mwenzetu....pole yakeWe single mother hebu tutolee kelele
Tutaaminije kuwa wewe sio single mother
Una uhakika wameachana?Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.
Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.
Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.
Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.
Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...
Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.
Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.
Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.
Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.
Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!
Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.
Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?
Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.
Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.
Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.
Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.
Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.
Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.
Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.
Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake
Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.
Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.
Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.
Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.
Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.
Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.
Shukrani.
Dah!!Yote kwa yote USIJICHANGANYE UKAOA SINGLE MAZA.utajuta sanaa.Haijalishi hana maisha au ana pesa.Singe maza ni CERTIFIED TROUBLEMAKERS
Acha mambo yako wewe, kwani wanaume wangapi wamekufa kwa masaibu ya wake zao..? Au unajifanya na vichenji vyenu kumnyanyapaa msela mbona mwanzo umesema alikua fresh tu anamhudumia dada Ako na mtoto wake,nini kimetokea hapo katikati?Soma thread yote mkuu. Hujaona vipigo hapo? Tunazika wanawake wangap wanaouwawa kwa vipigo?
Hapo ni kama unataka kuhama nchi kwasababu ya mvua....
Embu tulia kwenye ndoa mjenge familia.
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.
Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.
Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.
Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.
Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...
Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.
Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.
Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.
Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.
Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!
Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.
Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?
Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.
Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.
Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.
Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.
Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.
Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.
Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.
Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake
Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.
Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.
Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.
Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.
Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.
Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.
Shukrani.
Sawa dada ako chakula anapata na kulala analala vzr tuWakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Bwana Yule alichangia pia ndoa yangu kuvunjika 2018 baada ya biashara zangu kufeli Vibaya.[emoji29][emoji848]Inaonekana mambo yaliharibika Sana baada ya Mtu mmoja kuingia Ikulu 2015.....
Ilikuwa kilio Kwa wafanyabiashara Wengi
Ndoa za Wengi zilienda ..biashara zilivurugikaBwana Yule alichangia pia ndoa yangu kuvunjika 2018 baada ya biashara zangu kufeli Vibaya.[emoji29][emoji848]